Jamani angalieni salio account zenu za Bank mimi nimekatwa 9370. Nimeangalia leo nakuta salio limepungua sana. Kwenye simu tozo, Bank napo makato ya bei kubwaa elfu tisa? Wakati mshahara umeniongezea elfu 8 harafu kwenye bank unanikata elfu 9 ๐ญ
Kwa wale wanaohitaji course za afya, Tuna scholarships za kuanzia 50%, Udahili upo mwishoni,
Tupigie 0685215414 /0785986212 au karibu ofisini kwetu Dar Free Market Mall Oysterbay Dar es Salaam upate udahili wa moja kwa moja hivyo njoo na Vyeti vyako kabisa!!
SADALA we mean business yaani! Kama unadhabi tunacheza cheza basi unakosea sana and you doing a serious misculculations! Ulisema walitaka kukuangusha wakashindwa!.. this time unakwenda na maji yaani..
Hatutaacha mpaka tukukalishe chini na ukiri kuwa CCM siyo baba wala mama yako