Siku zote Mungu Atabaki kuwa Mungu na Wala habadiliki kuwa Kama kinyonga abadilikavyo au Kama wanadamu wabadilikavyo basi mtukuze kila siku katika maaisha yako.
Naanza kukupa mistari ohh Mungu alikuumba akakuweka kuwa mzuri ili uwe msaidizi wa Mume atakae kitawa na kukukimili hivyo jitambue pia umtumkie Mungu.mistari inatosha# 🙏
"Nimekuwa Mbunge wa Jimbo hili kwa miaka 10, siku zote ambazo nimetangazwa ,sijatangazwa kwasababu mimi ni imara sana, sijatangazwa kwa sababu mimi Halima nina nguvu sana nilitangazwa kwa sababu ya nguvu ya umma" - @halimamdee#CHADEMAKampeniKawe
😂😂😂 DED bwana! Sasa una mashaka mpaka unafuta picha zotee za kumsifu Meko. Ziache tu kuna siku tutakuja kuhesabuana mbona kuwa nani walikuwa chanzo cha machafuko. Usifute account mama!
Hivi vitoto wakati mwingine ni kupoteza muda tu ku deal navyo! Ni bora kupambana na akina Meko, Diwani na mchawi wa chama Bashiru. Hivi ni kupoteza muda.
Sasa hivi ndo unatuma vije kupambana na magwiji? We are heavy weights hawa watapasuka vifua! A single trap wamejaa kapu zima
#unajua Huyu jamaaa 👇👇 ananikera nimeshaliwa pesa Yangu 150,000/= kwa ubabaishaji wa upimaji wa ardhi halafu unasema serikali ipokaribu na wananchi gani hao?? Maji tu yameishinda serikali mpaka leo nawauzia maji 500 dumu Tena hiyo Bei naanza kwa Bei ya Msaada Wala sipati faida.
Look at this idiot! Yaani MATAGA hamnaga na hamuwezi kufanya mambo yenu kwa akili zenu au vipi? Hangaikeni tu lakini kama mlijua mna uchaguzi rahisi mwaka huu mnajidanganya!