KIOO KILITUFUNDISHA KUJIONA, LAKINI KIKATUSAHAULISHA KUJITAMBUA
Kuna hekima ambayo nature ilikuwa nayo kabla mwanadamu hajaanza kutengeneza vitu vya kumrahisishia maisha.
Kabla ya kioo kuwepo, mwanadamu hakuwa na uwezo wa kujitazama kila alipohitaji.
A BEAUTIFUL THREAD
WATU WENGI HUFANYA RITUAL, LAKINI HAWAELEWI KINACHOFANYA IFANYE KAZI.
Rituals zimekuwepo tangu zamani sana. Kabla hata ya dini nyingi za leo, binadamu alikuwa tayari anafanya rituals either kwa mwezi, kwa moto, kwa maji, kwa maombi, kwa ukimya.
A THREAD 🧵
@millardayo Me nilishasema ukitaka kuacha Dunia na watu /familia yako owe na aman muige Aliwai kua Rais Wa Kenya awam ya Tatu namna ya kuacha will Wa kibabe
🚨🗣️ Lisandro Martínez: "Ever since I' ve been with Muriel, she’s taught me how to be a man."
"I came from a male chauvinism background and was never able to develop my feminine side, to treat a woman well, to express myself, to give love."
"I used to think that crying was a weakness, but she taught me those things that I now love..."
"Because I now I LOVE crying, expressing myself, giving love, saying things to people’s faces."
THE BRIDGE THEORY.
Moja ya vitu vigumu kukubali ni kwamba si kila mtu aliyekuja kwenye maisha yako alikuja kubaki. Wengine hawakuwa mwisho wa safari yako, walikuwa daraja tu. Walikuja kukusaidia kuvuka kutoka version moja ya kwenda nyingine, na baada ya hapo wakaondoka.
THREAD
THE TYPE OF ABUNDANCE EACH ZODIAC SIGN SECRETLY CRAVES.
Wengi hudhani abundance ni pesa tu. Lakini ukiangalia kwa kina, kila zodiac sign hutafuta aina tofauti ya utajiri wa maisha. Wengine wanataka freedom, wengine peace, wengine recognition, wengine spiritual depth.
THREAD 🧵
Mto haujaribu kuwa bahari. Mwezi haujaribu kuwa jua. Kila kitu kina rhythm yake. Na labda sehemu ya spiritual healing ni hii: kuacha kujilazimisha kuwa version ambayo si yako, na kuanza kuishi kulingana na rhythm ya nafsi yako mwenyewe.
NATURE HAIJAWAHI KUWA MBALI NA ROHO.
Kabla watu hawajajenga majengo marefu, kabla ya kelele za miji, na kabla ya maisha kuwa ya haraka hivi, binadamu alikuwa karibu sana na nature. Alikuwa anaamka na jua, analala na giza, anasikiliza upepo, mvua, bahari, ndege.
A THREAD 🧵
KITI ULICHOKIKALIA KWA MUDA MREFU
Kuna aina ya uchovu ambao hautokani na kazi nyingi, wala matatizo mengi. Unatokana na kukaa sehemu moja ya maisha kwa muda mrefu sana huku ndani yako tayari ikijua umeipaswa kuondoka.
A THREAD 🧵
@EngMapundajr Atleast 300buses kwa siku wamelop 20k kWa mamlaka means ni 180m kWa Mwaka ni 2bil Sasa inanan zitafanya kazi ukotaka kuamini Ilo Kaeni kuanzia saa moja usiku Moro-mlandiz,Iringa-Moro,Makambako-Iringa na Makambako-Mbeya-Tunduma muone Moto mbaya zaid pale kitonga to mikumi
RITUAL YA KUFUNGUA FINANCIAL BLOCKS.
Pesa haizuiwi nje tu, mara nyingi huzuiwa na hali ya ndani (beliefs, hofu, tabia). Hii ritual inalenga ku-align hayo yote. Chumvi ya mawe haiwezi kukufanya uwe na nidhamu ya pesa kama mwenyewe hujaamua kuwa nayo. Hali ya ndani.
A THREAD 🧵
HOW TO RAISE YOUR VIBRATION
Raising your vibration isnt about forcing yourself to “feel good all the time.” That idea alone ndiyo huwafanya watu wengi washindwe. Vibration yako haipandi kwa kujilazimisha, inapanda pale unapoanza kurekebisha hali yako ya ndani hatua kwa hatua
🧵
Hiyo inabadilisha mtazamo wako, na mtazamo ndiyo unaobadilisha vibration.
Movement ya mwili ni underrated sana. Kutembea, kufanya mazoezi, au hata kupumua kwa makini/meditation kunaondoa stagnation ya energy.