@FKihamu IRAN soon mtajua kama ana nuclear weapons kwa sababu ya hiki kibure sio Cha kawaida kama Hana nuclear weapons ange kua mpole iran anaficha umma kua Hana nuclear weapons but bila shaka anayon
@bajabiri@Kingvannytz_ Iyo jezi mngeuza 25k mngeuza sana sababu ni jezi nzuri watu wengi wangenunua kama mtoko tu but kuuza 45k niuongo coz KMC Haina washabiki ata 1000 wenye MAPENZI ya kuinunua iyo jezi kwa 45k