MANGE KIMAMBI NA VICHEKESHO VYA KUIPELEKA META MAHAKAMANI
Mange Kimambi amefungua kesi katika mahakama ya jimbo la California nchini Marekani (State Superior Court).
Mange anatoa milio mingi na kuilalamikia kampuni ya META Platforms, Inc. inayomiliki mitandao ya kijamii ikiwemo Instagram, Facebook na Whatsapp kwamba kampuni hiyo kwanini ilifunga akaunti zake bila kumpa taarifa huku akidai kulikuwa na shinikizo kutoka Serikali ya Tanzania. Hivi ni vichekesho
Asichokielewa Mange kwanza META ni kampuni binafsi na haina mkataba na mtu yeyote kwamba lazima mtu awe na akaunti kwenye mitandao yao.
Januari 8, 2021 mtandao wa Twitter sasa inaitwa X ulifunga akaunti ya Donald Trump. Trump alienda mahakamani lakini aligonga mwamba na kushindwa vibaya baada ya kutakiwa aoneshe kipengele ambacho ni lazima awe na akaunti kwenye mtandao wa X.
Mange Kimambi, kupeleka kesi ya namna hiyo mahakamani ni kupoteza muda, maana META si huduma ya kiserikali ambayo kila mtu lazima apate, ni kampuni binafsi ambayo sera na taratibu zake hailazimishwi kukupa akaunti.
Kinachomuuma Mange ambacho wengine bado hawajakielewa sio kufungiwa akaunti tu, ni kwamba baada ya akaunti hizo kufungwa salio limekata, alikuwa anaingiza fedha kwa kutumia akaunti hizo kwa machapisho yaliyojaa uongo wa kutengeneza ilimradi apate fedha kutokana na chapisho kutazamwa au kupata comments na likes, sasa mzigo umekata.
@John_Pambalu@StevenMrosso1 John, kuna vijana wa CDM wanaomshambulia sana FAM na hata kumvua nguo, je, kwa kufanya hivyo wao wanakuwa sahihi kuliko wazee wenzie na FAM?๐คท๐ฝโโ๏ธ๐ค
MWENDOKASI BUNJUโBAGAMOYO KUONGEZA FURSA ZA KIUCHUMI
Mpango wa kuendeleza huduma ya Mwendokasi kutoka Bunju hadi Bagamoyo unaendana na mwelekeo wa kuifanya Bagamoyo kuwa kitovu muhimu cha biashara na uwekezaji. Eneo hilo lina mipango ya kuendelezwa kama jiji la kiuchumi na kibiashara, likiunganishwa na miundombinu ya barabara na reli kuelekea Bandari ya Bagamoyo na Bandari Kavu ya Kwala.
๐
Uamuzi wa NEC ya CCM kumvua UANACHAMA umekuja wakati tayari ameshatangaza kustaafu siasa na utumishi wa umma. Kila la kheri Balozi Dkt. @nchimbie uliishi kwa vitendo ahadi yako ya UANACHAMA ya Kusema KWELI daima na FITINA kwako ilikuwa MWIKO. Mungu wa Mbinguni akasimame nawe.
Alisoma Kigurunyembe Sec kisha akaenda Merton College UK na degree akasoma International Relations chuo cha Lincoln UK. Akafanyakazi TIGO na GSM kisha akawa Mkuu wa Wilaya. 2020 akawa Mbunge na akapanda hata kuwa Waziri. Deogratius Ndejembi mwenye miaka 43 ni makamu wa Rais ajaye
UJENZI WA VIWANJA VYA MAZOEZI AFCON 2027 WASHIKA KASI DAR ES SALAAM
๐ Farasi & Leaders Club, Dar es Salaam
Maendeleo ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vya Farasi na Leaders Club yanaendelea kwa kasi, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Tanzania kwa ajili ya mashindano ya AFCON 2027 yatakayofanyika kwa ushirikiano wa Tanzania, Kenya na Uganda. Viwanja hivyo ni miongoni mwa vituo vitakavyohudumia timu zitakazoshiriki mashindano hayo.
Halmashauri Kuu ya CCM iliyoketi leo August 26,2026 chini ya Mwenyekiti wake Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepokea jina na kumpitisha Waziri wa Nishati, Deo Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania.
Hayo yametangazwa leo na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Asha Rose Migiro.
Kufuatia uamuzi huo wa Chama sasa kwa mujibu wa Katiba jina la Ndejembi litapelekwa Bungeni ili kupigiwa kura na Wabunge ya kumuidhinisha rasmi kuwa Makamu wa Rais .
#KemgongoUPDATES
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM iliyoketi leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeadhimia kumfukuza uanachana aliyekuwa Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.
Akiongea leo Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Asha Roze Migiro amesema โโKamati Kuu imejadili kuhusu suala la nidhamu na maadili ambalo lilikuwa linamkabili Emmanuel Nchimbi, na baada ya kuzingatia taarifa zote zilizokuwepo ilithibitika kwamba katiba ya CCM na kanuni zake zilikiukwa, na hivyo Nchimbi amefukuzwa uanachamaโ
๐
Hongera Sana, Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb), Waziri wa Nishati na Mbunge wa Jimbo la Chamwino kwa kupendekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM-TAIFA kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hawajajifunza Walimchafua Mhe. Daniel Chongolo na sasa ni Waziri wa Kilimo.
I welcomed my son from Tanzania, Abdul Halim Hafidh Ameir and his delegation at State House Entebbe.
We discussed investment opportunities and how the private sector can continue contributing to the growth and development of our two countries.
๐
Mhe, Balozi Dkt. @nchimbie umefanya uamuzi sahihi na wa busara kwa kuachia nafasi baada ya kujiridhisha kuwa Rais anataka mabadiliko. Umekuwa kiongozi msema kweli na mwenye msimamo usioyumba kwenye mambo ya msingi kama haki za watu, utu, uadilifu, uwajibikaji na katiba mpya.