#hiphopfamily Mbeya ina Hip Hop emcee's wengi na mashabiki kibao wanao husudu utamadu pia kilinge Cha Kinasa Wazi Mbeya miaka 10 bado kinafanya vyema huamini muulize mwanangu @Thereal_taivina โ๐ฟ๐ฎ๐ฟโโ๏ธ
Hip Hop family ni mfollow Mwambamoka1 Instagram, ndoalikuwa mshindi katka battle freestyle Kinasa Wazi Mbeya.
Mpeskio alafu kesho nitakuuliza swali kuhusu yeye.
Asante @Nyonyoma1 umetisha Mani we ni hip hop family โ๐ฟ๐ฎ๐ฟโโ๏ธ
1.Stress Management
2.Matarajio yasiyo na uhalisia
3.Ugumu wa maisha
Ni maeneo matatu yaliopelekea vijana wengu kudumbukia kwenye ulevi na uraibu, kufanya matendo yasio sawa kama vile _Unyanyasaji wa vipigo kwa watu,
_Kuua na kujiua
_Kuwa tegemezi kwa wanawake wanaowazidi umri
๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐.
1. Kunywa kikombe cha maji mapema asubuhi hii; ni nzuri kwa figo zako na husaidia kuanzisha mchakato wa kimetaboliki kwa mwili.
โ Ikiwa kunywa maji asubuhi mapema kunakufanya usikie kichefuchefu, ongeza vipande vya tango,limao au Tangawizi kwenye maji ya uvuguvugu. Au kunywa maji kidogo kidogo. Itakusaidia.
2. Kula angalau yai moja leo. Ni nzuri kwa ubongo wako.
3. Epuka sukari Nyingi na vyakula vyenye Sukafi iliyopitiliza. Fanya hivyo kwa ajili ya moyo wako.
USITUMIE juisi ya matunda ya pakiti, ina sukari nyingi sana na kiasi kikubwa cha fructose. Huhitaji hiyo, Tengeneza Mwenyewe kwa Matunda Asilia.
4. Hakuna soda leo. Fanya hivyo kwa ajili ya meno yako, ini, na mfumo wa kinga.
5. Hakuna vinywaji vya kuongeza nguvu leo (EnergyDrinks). Ni hatari kwa moyo wako.
6. Chukua dakika tano leo kufikiria kuhusu baraka zako, zihesabu na uzitaje moja baada ya nyingine, Kisha Mshukuru Molla/Mungu kwa Baraka hizo.
7. Epuka Kuwa Na Msongo wa Mawazo, Itakusaidia Kuwa Mwenye Furaha na Afya BORA ya Akili.
8. REPOST, Fanya hivyo kwa ajili ya wengine.
Kuna watu wanajifanya wanajibrand wakati hata brand zenyewe hawazijui.
Eti unamtafuta kijana mwenzio baada ya kuona ana influence kwenye angle fulani ili umpe deal ya kuwa balozi wa mteja wako.
Yaani kwanza ametengeneza ugumu kufikika, bado unampata unampa mchongo anakwambia "WASILIANA NA MENEJA WANGU".
Unampigia meneja wake, hapokei simu. Unaamua kumpa deal mtu mwingine anapiga mpunga kiulaini anaondoka na Milioni 9 zake za miezi 3.
Baada ya kujua kwamba deal lilikuwa real, anaanza kurudi kwa kusema ameachana na meneja, so naweza kucontact nae direct. Shame!!
VIJANA MTAKUFA NJAA, MSIRIDHIKE MAPEMA.
Watu maarufu, Msipoutumia kwa AKILI umaarufu wenu, badala ya kujenga BRAND mnazozisemea ndio mnaziua nyie wenyewe.