THE PEOPLE'S WAY & FREE SPEECH.
Karibuni sana kwenye Jamvi la Jamii. Hapa utapata habari, na matukio tofauti tofauti, ruksa kutweet kupitia ukurasa huu. #jjleo
Baada ya kuitangaza hadharani ndoto yangu ya kuwa rais nimepata mashambulizi mazito sana toka kwa vijana nikamkumbuka @tonytogolani na nadharia yake ya husda,kama mtu anaweza tu kuichukia ndoto yako Hi ni husda ya kiwango cha hali ya juu sana Jamii inayopinga maono haiwezi kuona
I am Patrick Safari, a Kenyan Security Officer, but today I choose to be the voice for Hon @HEBobiwine.
I believe in the rule of law. I believe in human rights and That's why I am against the arrest, torture and arbitrary detention of Hon. Robert Kyagulanyi.
#FreeBobiWine
Niliandika kuhusu Mh Sugu na ubunge 2020 Kafulila kapelekwa huko.
Nassary nae kapelekewa Jerry Muro, wakati huo huo wabunge wa upinzani wapo Twitter kupinga na kukashifu.
Mwakani ni uchaguzi wa Serikali za mitaa na haya tuyaonayo niaandalizi tu.
#ChangeTanzania
Nimekaa hapa najiuliza na sipati jibu. Tanzania ya sasa sio ile aliyoiyacha baba wa taifa. Wakifa au wakipotea watu serikali inafumba macho ila wakipotea mbwa mawaziri wanakuwa wakali. Inamaana mbwa wanathamani kuliko watu? 😎😎😎😎😎😎😎@tzDiscovery@ChangeTanzania@Tz_Kwanza
@gbigeyo @willynationtz Hajasema selikari itupe mtaji hapana, alichomaaniasha @willynationtz ni mfumo wa elimu haumfanyi mtahiniwa kujiajiri mwenyewe baada ya masomo. Unaweza pewa mtaji na usifanye chochote.
Kwenye Civics tulifundishwa Sifa za Madikteta ;
. Kauli za Umimi na sio SISI
. Kujivunia maendeleo ya Vitu na si watu
. Demokrasia, Haki na Uhuru sio priority kwao
. Kutumia nguvu ya Dola kwa kila kitu
. Kuogopa kukutana na Mataifa mengine (fear exposure)
#ChangeTanzania
@TanzaniaUpdates swal hv kama #TRA wnaksnya kwa wing kwann serkl isipunguze nakisi yan kukopa nje maana kama wana fedha nyng ssa why wnakopa sana #ChangeTanzania
Wabunge na mawaziri na viongozi wengine wa serikali wakiendelea kukaa kimya yatawatokea puani juu ya Wafungwa kwa sababu na wao watatumbuliwa na kupelekwa gerezani na watafanyishwa kazi usiku na mchana kama alivyo agiza raisi. Aiseee watapata tabu sana. 😅😅😅😅😅😅😅🚶🚶🚶🚶🚶
Wabunge na mawaziri na viongozi wengine wa serikali wakiendelea kukaa kimya yatawatokea puani juu ya Wafungwa kwa sababu na wao watatumbuliwa na kupelekwa gerezani na watafanyishwa kazi usiku na mchana kama alivyo agiza raisi. Aiseee watapata tabu sana. 😅😅😅😅😅😅😅🚶🚶🚶🚶🚶
Tumesogea 😀
1 .Hata Wanachi wale nyasi, ndege ya raisi tuna nunua
2. Watakupiga tuu, na mimi nimesema wawapige tuu.
3. Watalimia meno
4. Kipigo cha mbwa koko watapata tabu sana
5. Nitaanza na shangazi zake
6. Ni usiku na mchana, wakilegea pigeni mateke
#ChangeTanzania
Tangu tumepata Uhuru tumewahi kuwa na mawaziri wa mambo ya ndani 25, Lugola ni wa 26, Mawaziri wawili tu kati ya wote ndio wamewahi dumu miaka 5 kwenye uongozi. Said Maswanya 1967-1973 na Muhidin Kimario 1983-1989
#NUKUU "Tunafanya siasa katika mazingira magumu sana ambayo yanakatisha tamaa lakini hatutarudi nyuma kwani ni jukumu letu kupigania haki za watanzania ambao wanatuamini". - Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye. #KwanzaHabari#Via Tanzania Daima
Basi kama anayajua hayo afute mfumo wa vyama vingi ili tujue tuna chama kimoja. Tunaona kabisa wapinzani wanauwawa na kupigwa risasi alafu Raisi yupo kimya tafikiri yupo ulaya kumbe hata ulaya hujawahi enda. Ila tukitoa takwim kuwa umaarufu wake umeshuka serikali ndo inayaona.