Habarini wapendwa. Napenda kuwafahisha kuwa kijana mwenzenu natoa huduma za kutafsiri kwa lugha Za Kireno( Portuguese) Spanish, Chinese, Arabic, na Kifaransa. Karibu sana kwa mwenye uhitaji. Asante
UTEUZI
USW
namteua Diva The Bawse kuwa Mkuu wa kitengo maalumu cha mahusiano,
ratiba ya vipindi vyake itakujia hapo badae.
MAKE USW GREAT AGAIN
"Leaving No One Behind"
#WapwaTuinuane
“Baada ya Rais kuzungumza jana, Mbowe na yeye akazungumza na kuanza kuzodoa alichozungumza Mkuu wa Nchi, kuzungumza baada ya Mkuu wa Nchi ni kujipima ubavu na Rais, namshauri Mh.Mbowe aache, ukimdharau Rais wetu umetudharau wote, jiepushe kumdharau”-NDUGAI
#MillardAyoUPDATES
Itakuaje mtoto wa Mbowe awenayo na mimi mwanangu asiipate? Kwani mtoto wa Mbowe first family? Haiwezekani! kama mwanawe kaipata na wangu ataipata tu! Ushindani mpaka kwenye UGONJWA WA COVID-19! Mungu atisaidie Jamani! Usiku mwema.
@rollymsouth Umeongea fact,japo mimi ni mmoja wa wahanga wa kutafuta followers,nadhani kuna kitu cha kujifunza,kukaa chini na kutathmini strategy ya kufikia malengo nnayoyataka twitter,ukweli mchungu ila umefika.