Mipango, malengo na Muelekeo ni vitu muhimu sana hasa kwenye wakati wa Sasa ambao watu wanaigiza, wanafata mkumbo na kupangia wengine maisha.
✍️USIPOJUWA WAPI UNAELEKEA WATU WATAKUPELEKA WANAPOTAKA WAO, KUWA MAKINI ✍️
#badotunamengiyakujifunza#jamiiinakuhitajifoundation
Katika kutulia na kutumaini nguvu zenu zitarejeshwa.
Mambo mengi unayohangaika nayo siyo kweli kwamba hayana majibu Ila yanahitaji utulivu tu.
"WIKI HII ONGEZA UTULIVU NA INGIZA AKILI KAZINI UJE NA MAJIBU YA MAISHA YAKO"
#badotunamengiyakujifunza#jamiiinakuhitajifoundation
Wafilipi 4:6 Nami niliaminilo ndiyo hili ya kwamba yeye aliyeanza kazi njema mioyoni mwenu ataimaliza hata siku ya Kristo Yesu.
Mungu hawezi kukuacha katikati ya safari , tunahakikishiwa kwamba kazi njema uliyoianza inafanikiwa
" WEKA IMANI NA UJASIRI WA KUIENDEA "
Imekuwa wasaa mzuri asubuhi ya Leo kushiriki kipindi Cha Hello Wikiendi kinachoruka Azam Tv ( UTV) tulikuwa na mada mezani nafasi ya kijana katika familia na jamii hasa katika maendeleo ya kiuchumi.
Ahsante Azam Tv kwa ajili ya siku ya leo.
@utvtz#badotunamengiyakujifunza
Wafilipi 4:4 Furahini katika bwana sikuzote tena nasema furahini. Msijisumbuwe kwa neno lolote isipokuwa kwa Kila neno kwa kusali, kuomba na kushukuru.
Relax dear..!
Jipe matumaini hata hilo litapita, furahia ulivyonavyo Sasa, omba Mungu na ingia mapambanoni.
Jana ilikuwa siku ya maadhimisho ya Uhuru wa kifedha, nilifanikiwa kufanya interview Azam Tv kwenye kipindi Cha morning Trumpet asubuhi.
Hizi ni moja kati ya dalili 2 kwamba unaendea kwenye Uhuru wa kifedha.
Ahsante sana Azam Tv @utvtz1#badotunamengiyakujifunza
Imekuwa wasaa mzuri sana Leo kushiriki kipindi Cha Morning Trumpet Azam Tv siku ya leo...
Ikiwa Leo ni siku ya kuadhimisha uhuru wa kifedha, nilishiriki katika dondoo za kusaidia mtu kufikia uhuru wa kifedha.
Ahsante sana familia yangu pedwa ya Azam Tv
#badotunamengiyakujifun
siku ya Jumamosi nilizingumza na wamiliki wa Shule za chekechea wilaya ya ubungo ( UVIWADA UBUNGO).
Nilizingumza nao kuhusu umuhimu wa nafasi waliyonayo na majukumu yao ya kimalezi na usalama kwasababu wao ndiyo wanakaa na watoto muda mrefu.
#badotunamengiyakujifunza
Kwa kweli imekuwa siku njema sana Leo.
Nilitafutwa na Azam Tv kuongelea wimbi kubwa la single mothers na changamoto za Malezi.
Haya ndugu zangu kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku UTV naomba mtazame na nawakaribisha kurecord , kupiga picha na kunitumia please.
God is good
Kuwa bora, kuwa wa tofauti siyo kitu rahisi
kuwa wa kwanza kumiliki ambavyo wengine hawana
Unahitaji kupigana vita nyingi sana
Mwanajeshi halii mapambanoni
" KUFA AU KURUDI NA USHINDI "
Usichoke mapema, endelea kushambulia.
#badotunamengiyakujifunza
Taarifa Zina mahusiano ya karibu na amani pamoja na utulivu wako.
Hivyo basi epuka kuchimba kila taarifa.
Tupo nyakati ambazo Kila mtu anasema
✍️ AMUA KUCHAGUA KUSIKILIZA VICHACHE TU VYENYE TAARIFA NJEMA NA VITAKAVYOKUJENGA ✍️
#badotunamengiyakujifunza