Praise God, Jumapili yako iko vipi? Unaipokea Milele Fm ukiwa wapi? (1 Peter 5:10) And the God of all grace, ...... will himself restore you and make you strong. Karibu ndani ya Shangwe Na Utukufu ukiwa nami Agnes Waithera Mwadime tumshukuru Mungu pamoja. #SHANGILIA.
#BARAKAZAMILELE@MmboneMercy1@EvahMwalili@Milele_FM Hallelujah !! Ni wiki ya kwanza mwezi huu wa machi . Mwambie Mungu neno moja tu kwa umbali huu amekufikisha . Karibu tuanze siku kwa baraka tukiongozwa na Mercy Mmbone . 20005 SMS.
A blessed beautiful good afternoon to you this month of love. Karibu tubarikiwe 1-4pm on @RadioCitizenFM salamu zako za baraka zamwendea nani?
#WingulaBaraka