@babalao__ Sio aga khan tu ipo sku hospital zingine nitagoma kuwahudumia wagojwa wa NHIF kutokana na mambo ya siasa kwenye afya hamjui NHIF wanavyo kata makato kwa hospital za private. . ila haya mambo yana mwisho
@Twaha_Mwaipaya Hawa jamaa wana roho mbaya sana mwanangu alipata kazi hospital moja walivyo jua katoka bara aiseh mpka aliacha kazi mazee Hawa watu wana chuki sana na wakijua ni mkristo π₯΄π₯΄
@wizara_afyatz@nhiftz Nyie mnafanya vituo binafisi vya afya viwahudumie wagonjwa wa NHIF wapewe Panadol tu aiseh mna dhambi sana hamlipi Kwa wakati hasa mwanza aiseh