“If he dresses the lilies with beauty and splendor, how much more will he clothe you. If he watches over every sparrow, how much more does he love you”.
-Jireh
Muda ndio sasa. Kwa mara ya kwanza Kabisa ndani ya Nilipe TV, tunafungua Gospel channel na minister_paulclement USIYESHINDWA, LIVE ALBUM RECORDING Vol 1 na 2. Haijaonekana kokote kwengine zaidi ya hapa hapa Nilipe TV.… https://t.co/s5rVlgMoDl
Kampuni kama Netflix, Facebook, Youtube, wote hawa wanaingiza hela nyingi tu kutoka Tanzania kupitia matangazo, lakini hawalipi kodi.
Badala ya TCRA kuuua ubunifu wa Watanzania na leseni za mamilioni, kwanini wasiisaidie serikali ipate kodi toka kwenye haya makampuni?
Anybody going for @TOTBonanza today? Nilipe has got something for you. Free day pass on nilipe TV for the first 50 subscribers. Get to see Tanzania's extremely talented comedians on your phone.
#nilipe#nilipetv#comedy#digital#chekatu#onlinetv
We bring you entertainment back at home!!! 😃*WATCH* exclusive *COMEDY* shows only available on *NILIPE TV* Download the app today and join ur friends & family Download link https://t.co/sBcmGyVjU3