Mfalme huwa anatengenezwa akiwa mdogo kabisa ili baadae aje aongoze taifa, atafundishwa namna ya kula, kuvaa, kuongea na watu, kutembea, watu gani wakuongozana nao na nani hapasi kuongozana nao ili aje kuwa mtu bora baadae,
May September be kind to youβ¦
This month shall bring you goodness and the kindness of God..
Your life will also be extension of his Favour to those around you..
Itβs the 9th month and I declare you fruitful in every ramification in Jesus name..
@MsomiKhan18@Sirjeff_D Kwaiyo list yako hapo Baba levo UDSM, Mwijaku UDSM na uyo Jeff pia UDSM ndio mana unaona wanafanana Brain π @MsomiKhan18 sio ridhiwani kiwete tu ntawalist hapa wa UDOM ni very bright.
@nyuki_malkia Malezi au makuzi ya mtoto yanategemea sana Baba na Mama na katika kipindi hiki watu wengi wamekuwa WAZAZI lakini sio WALEZI, wao wanazaa alafu Dunia ndio inawalea watoto sasa hayo ndio matokeo yake na pia watu wengi hawana PARENTING EDUCATION.
sasa kama haukuzaliwa kwenye familia ya kifalme au Familia Tajiri never don't accuse yourself JITENGENEZE tafuta Mtu ambae unataka uwe anza kuishi maisha yakujua WEWE NI NANIβοΈ j
UKITAKA MATOKEO KATIKA MAISHA , MAOMBI NDIYO KAZI YENYEWE !!
[Prayer Is Real WORK]
Maombi Huwa Hayavutii Lakini matokeo yake Huwa dhahiri kwa watu wote kwa kuwa maombi Ni Kazi Haswa kwa mtu yoyote anayetaka kutembea na Mungu kwa Viwango vikubwa.
Wakolosai 4:2
"DUMUNI SANA KUOMBA