@tanescoyetutz Heri inatoka wapi mnaweka mgao usiku na hili Joto watu tunalala vipi huku Kigamboni?, wekeni mgao mchana, usiku mtupe umeme tafadhalini sana mnatutesa tuna watoto wadogo.@DocFaustine
@king_nashon@fatma_karume Sidhani kama zinaenda kwa CAG labda kama watazihitaji kama reference kipindi Cha Ukaguzi, ripoti za Internal Auditor ni za Mkurugenzi.
@moodewji Ila I think kuweka focus kwenye kujenga miundo mbinu na kudevelop youth hapo ndo umezungumza kama mwenyekiti na Owner
That should have been the first eye.
@moodewji Kiongozi u have to go back to your drawing board and review ur vision that led to investing in Simba.
kuachia ngazi ni sahihi lkn umechanganya maneno ya Chairman na Owner of the club
Paying a salary ya 4b/yr has nothing to do with being the chairman of the board.