@SuphianJuma@SuluhuSamia Ila we jmaaaa wewe 😂😂😂uwa unaifanya nione utaila wako waziwaz ko kumbe na ww unatamn waandaman wakati mamako yupo kupigania ipatikane suluhu bila maandam ww unabwabwaj ujinga huku zero brain
@earadiofm@mr_maseke Nikweli sio kujiuzuru tu lakini kijana mwenzetu hata sisi ni watanzania tunauvumilivu kama ilivo sifa ya watanzania sasa unataka hatua wachukue leo kwani hilo limekuwa tukio la kwanza ? Kumbuka yule bint wa yombo,yule mama na mtoto dodoma, huyu mzee wa juzi matukio yot haya
@earadiofm@mr_maseke Sisi tunasema wajiuzuru kwasababu wao ndo viongozi wa vyombo vya usarama wa raia sasa matukio yanapozidi kuongezeka tunaamin utendaj wao uko chini ya kiwango hatuna maana mbaya zaidi ya hiyo na duniani kote mambo huwaga yako ivo “uwajibikaji”
@MwanaFA Iv mnawazo moja kwanini kusiwepo siku maarum yakuadhimisha utamaduni wa kitanzani na hiii siku ikawekwa kisheria kwenye kalenda ya watanzania huoni kma hiiii inaeza kuwa chachu ya kukuza utaliiii na kunogesha tamaduni zetu
@SnrDirector Dog kuongea kwa ujasili na kwa akili pevu kabisa nmepend mchango wake hiii inadhiirish ukomavu wa kiakili Upo katika kila level ya elim mana mchango wake umekuw mzuri kuliko ule nliouona start v kwa vijan wa vyuo vya mwanza😁