@zittokabwe@MagufuliJP Nachelea kujiuliza, hivi tanzania hatujasoma? Au hatujuwi matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii? Maana sina hakika kwamba matusi na kejeri vinajenga, kama ni mdahalo ufanyike kwa amani, usifate maoni ya watu wengine siyo watanzania wanachochea vurugu. @humanrightstz
Tunashukuru serikali yetu ya Tz,kwa kampeni inayoendelea sasa ya upuliziaji wa dawa ya kùuwa mbu waenezao maralia hasa kigoma kibondo,maralia itapungua.Tuombe na dawa za kuangamiza kunguni majumban zitafutwe nyumba nyingi ni shida @MagufuliJP @umwalimu @DocFaustine#chukuahatua
@MpondaSabinus Historia zingine potezea hata Historia yako wewe ukiipima kunemaeneo itakukumbusha mauzi uliyokuwa unayafanya hata kama siyo zinaa, akili yammoja au mawazo ya mmoja ( yako peke yako) hupaswi kuyaamini kwamba yako sahihi, mke wako alishajisahihisha, sasa ni mke mwema.
Serikali ingeangalia uwezekano wa ufungaji wa mbolea, ikiwezekana, hata kg 5,10,15,20 zifungwe kwenye mfuko wenye ujazo tofauti ili ili kupunguza hali iliyopo sasa ya kipima mbolea kwa kopo kama ilivyo sasa. @MagufuliJP @tzagriculture #chukuahatua
Hakika #kigoma#kibondo musimu huu wa mvua maendeleo ya mazao si haba, ni vizuri kila mmoja awajibike kwa uwezo wake pasipo kubweteka 2thesalonike 3:10 @KilimoForum @tzagriculture #chukuahatua
Ni katika uwanja wa michezo s/m; kahama nguzo nyingi zimemwagwa lakini hatujuwi ni kwa shughuli hapa au hiki ni kituo tu, zinaondoka kwenda pengine. Maana kama nikufunga wirelling tulishafunga miaka mitatu zilizopita hakuna kinachoendelea.@MagufuliJP@tanescoyetu#chukuahatua.
Tangu siku hiyo aliongea na wazazi wa watoto hao watano akisema yeye anathamini sana watoto wanaojituma kwenye masomo, ila wenye tabia za kihuni wanaopigana na walimu hao hawezi kuwasaidia, alilaani sana watoto wanaojiita eti wanaenda na wakati. @TAMISEMI3#chukuahatua
Katika mahafari ya darasa la saba, mgeni rasmi akiwa mjasiriamali mzee MAURIDI JUMA akatoa msaada wa kusomesha watoto watano kutoka form one hadi form four. Hakika baba huyu anathamini sana, kaulimbiu ya hapa kazi tu. @MagufuliJP@TAMISEMI3#chukuahatua
Jaman pongezi nyingi kwa timu yetu ya taifa Taifa stars kwa kufuzu michuano ya chan 2020 huko Kamerun baada ya kuwatandika Sudan 2 kwa 1 wakiwa kwao. Tumefurahi Tanzania oyeee!!! @MagufuliJP oyeee!!!!! #chukuahatua
Matokeo ya watoto darasa la nne tunashukuru maana angalau yamepanda kuliko mwaka jana. Tuombe na sisi Tz tufanane na Rwanda ambao shule ya msingi wanatumia kompyuter ili kujenga uelewa zaidi katika Dunia ya sasa. @wizara_elimuTz@MagufuliJP#chukuahatua