Uongozi sio Ubabe, kujiskia,kukomesha, kujisikia, udikiteta, Ufashisti, Kujiona, Kihelere na mambo mengine yanaweza kukwamisha Maendeleo na kupoteza Imani za salio wengine ktk kufikia malengo Mahususi ktk kujenga na kujiletea Maendeleo ya kweli.
@officialjessque Tunaogopa kwa kuwa watu wasiojulikana wanawatumia ninyi km washikaji zao, pia hawakawii kuzusha mauti kwa wengine sijui mnapa cha wapi?
Hongera Mjomba Wa mmi uongozi haswa unataka hivyo uwazi,kujituma,kutuma/kuagiza, kuonya,kuwezesha/facilitation,kuelekeza, kusimamia maamuzi na kuwa na Mipango inayopangika. Mungu akutangulie ktk yote ili tufike mbali.@MagufuliJP
@MakauAbeidy Hii no adhabu. Kwani vyakula vya kawaida tena hotel I nyingine ni chafu na wafanyakazi wachafu inaperekea kuamini hata vyakula ni vichafu kisa tu wanapewa chakula bure na Pesa kidogo ole wenu mwisho Wa Siku mtajibu.
Napenda sana Huduma inayotolewa na Masoud kipanya na wafadhiri wake Wa choo, ananifundisha (1) kauli mbiu, (2),PETS ktk manunuzi,(3)kujituma.(4),mahusiano na jamii.(5)Heshima na nidhamu ktk kauli yake.(6)ushirikishwaji Nk.
@KennedyMmari Asilimia kubwa ya waajili wetu hapa nchini hawana taluma na kusimamia ukweli Bali wanataka kuonyesha wengine hawafai na vitu vyao havifai. Hili no tatizo kubwa na linarudisha nyuma https://t.co/nf0MO8rgUb kungekuwa hakuna mipaka duniani wenye vipaji wangehama
@Kiganyi_ Kumbe usanii ni dili unaweza kujifanya sources kwa Jamii kumbe sio moyoni, pia unaweza pia kujichanganya na Jamii in Moja ya hekima. Mungu tujenge mioyo yetu tuijenge nchi yetu na si vinginevyo.
Binafsi siamini ktk kuletewa naamini ktk aina kitu na vigezo vya kupatikana kwake, utapokea vingapi bila maamuzi yako, mbali na maandiko matakatifu ?@LaurenAlloyce@AGwandiko@BrightonKahili2
Siku zote na Imani chaguo lako ndio stahiki yako, ulichagua mtaliii sasa hayupo ssi tunateleza, sio siri ni kura Moja sijapoteza ila hizo nimeingia dhoti babu kubwa? Mjomba tupo pamoja msimshike mkono anaona huyo.