Hakika waraghabishi ni chachu ktk suala la kuchochea maendeleo ya nchi ktk maeneo yetu. Pamoja na ufaulu wa wanafunzi kuchaguliwa niombe serikali iongeze vyumba vya madarasa ili ndoto zao zikamilike. @HakiElimu@MagufuliJP@billmarwa@JoyceNdalichako@OxfamTz
Waraghbishi wa Wilaya ya Mbogwe Geita. Tunaipongeza sana Serikali kwa kufungua na kupanga wanafunzi wa kuanza kidato cha 1 ktk Sekondari za Nanda,Isebya na Ngemo Wilayani Mbogwe #ChukuaHatua.Uraghbishi kioo ktk maendeleo @JoyceNdalichako@MabalaMakengeza
Siku zote na Imani chaguo lako ndio stahiki yako, ulichagua mtaliii sasa hayupo ssi tunateleza, sio siri ni kura Moja sijapoteza ila hizo nimeingia dhoti babu kubwa? Mjomba tupo pamoja msimshike mkono anaona huyo.
HAKI ZA WATUHUMIWA NA WAFUNGWA KWENYE RASIMU YA KATIBA ILIYOANDIKWA NA TUME CHINI YA JAJI WARIOBA
- Mtuhumiwa ana haki ya Kutolazimishwa kutoa maelezo ya kukiri kosa ambayo yatatumika kama ushahidi dhidi yake
#KatibaNiYetu
Mzee wa Kimila, Athanas Chacha kutoka Tarime anapinga ukeketaji kwa wasichana. Shukrani kwa mafunzo kutoka kwa wabia wetu @kivulinitz. Tunapoendelea kuadhimisha #Siku16 za kupinga ukatili wa kijinsia, #ChukuaHatua kudai #KizaziChenyeUsawa
Wanaume wamepewa sifa maalum kwa amri ya uumbaji, na sababu ya uwezo wao wa mantiki ni imara zaidi ya ule wa wanawake, wao huchukuliwa kama walezi wa familia zao. Mwanamke ni kituo cha wema na ni kiumbe chenye hisia kubwa sana. Kuwepo kwake hutegemea huruma na upendo. #Tusaidiane
“Mahitaji halisi kutosheleza sekta ya afya hivi sasa yakiwa ni kuwa na watumishi 208,282 hata hivyo waliopo ni 98,987 pekee hali ambayo inafanya kuwepo uhaba mkubwa wa watumishi hao hasa katika ngazi ya zahanati na vituo vya afya" @umwalimu
#tunaboreshaafya