Top Tweets for #Biturana
Tunawashukuru @UNICEFDRC, @Refugees na mashirika yanayoendelea ktk ujenzi wa choo cha matundu 10 https://t.co/Zyfes5tCU6 #Biturana #Kibondokigoma. Tunaomba mashirika mengine yasapoti ktk ujenzi wa madarasa kwani ni changamoto sana. @Refugees @UNICEFDRC @HakiElimu @MagufuliJP

Tunaomba muendelee kutusaidia hasa sie tunaoishi vijijini huduma ni duni kwa sababu ya uchache wa watumishi #Biturana #Kibondo #Kigoma #Chukuahatua @umwalimu @wizara_afyatz @billmarwa
โMahitaji halisi kutosheleza sekta ya afya hivi sasa yakiwa ni kuwa na watumishi 208,282 hata hivyo waliopo ni 98,987 pekee hali ambayo inafanya kuwepo uhaba mkubwa wa watumishi hao hasa katika ngazi ya zahanati na vituo vya afya" @umwalimu
#tunaboreshaafya

Ni tamasha la usafi na utunzaji wa mazingira hasa kwny vyanzo vya maji ktk eneo la kata ya #Biturana #Kibondokigoma wananchi wakiwa wanapata elimu hiyo. Nahisi mabadiliko yatakuwepo baada ya kupata elimu. #Chukuahatua @umwalimu @kitilam @MagufuliJP @SuluhuSamia @OxfamTz

Umeme umekuwa kero kubwa kwetu katika kijiji cha #Biturana #Kibondo #Kigoma tuliwekwa kwenye mpango wa umeme utakaosambazwa vijijini hadi sasa hatuoni kinachoendelea je, tumesahaulika?@JosephKajuli @bahumtma @atashasta @TanescoT @
Serikali ya Awamu ya Tano ni makini sana Tunaomba na sisi Wananchi wa kikjiji cha #Biturana #Kibondo Tuletewe umeme wa (REA).maana tumesahaulika sana @atashasta @MagufuliJP @tanescoyetu #chukua hatua.
Hii ni barabara ya #Kumwambu kuja #Biturana tunashukuru kwa kututengenezea barabara hiyo tuombe iboreshwe kwa kuwekea changarawe @JosephKajuli @JansonJesca @zenanakoni1 @atashasta @AGwandiko .

Kisima hiki kina mda mrefu hakifanyi kazi #Biturana #Kibondo #Kigoma tuombe serikali itusaidie katika kutengeneza ili tuweze kupata maji. @zenanakoni1 @JosephKajuli @atashasta @JaylosK

Asante kwa kutoa taarifa kwa wateja. Mie ninasikitika kutopata nishati ya umeme ktk eneo letu la #Biturana #Kibondokigoma kwa muda mrefu viongozi husika mtuonee huruma kwani ni zaidi wakazi 5451. @tanescoyetu @kwanza_tv @WizaraUUM @atashasta @MagufuliJP @illomo_seth
Hii nimiti iliyopandwa na wawalengwa watassaf #Biturana #Kibondo tunaishukuru serikali kwakutuboreshea mazingira yetu @Nchaliko @billmarwa @AGwandiko

Hakika umeme tishio ฤทubwa kwetu kwani bร adhi ya vijiji vilishapata umeme tumebaki sisi tuombe serikali itusaidie tupate umeme
#Biturana #Kibondo #Kigoma tumesahaulika kabisa @JosephKajuli @atashasta @TanescoT @PamphiliusP @KNdundai

Tunaishukuru serekali kwa ukarabati wa Barabara kutoka kijiji cha #Kumwambu hadi sekondari #Biturana.@atashasta @TaruraTz @majaliwa_kassim @MagufuliJP .

Umeme umekuwa kero kubwa kwetu katika kijiji cha #Biturana #Kibondo #Kigoma tumesahaulika kabisa kabisa tunaomba mtukumbuke na sisi. @JosephKajuli @TanescoT @AGwandiko @IssackKatabizi @billmarwa @atashasta @KefarMbogela .

Kijiji cha #Biturana #Kibondo #Kigoma tumesahaulika katika hitaji la umeme vijiji vingine vimeshapata kasoro sisi wakazi wa #Biturana tuombe serikali itusaidie tupate umeme @JaylosK @JosephKajuli @billmarwa @TanescoT @IssackKatabizi

Wananchi wa #Biturana #Kibondo tunaadha yakutokuwa naumeme tunaomba serikali itukumbuke nasisi kwani wanafunzi wa https://t.co/f6HDzeKRdZ wanapata shida kwenye masomo ya usiku @atashasta @Nchaliko
@tanescoyetu Ni hakika kuna baadhi ya vijiji viliachwa km #Biturana #Kibondokigoma hakina umeme na taasisi zake #Chukuahatua.
Kataya #Biturana #kibondo nigiza tororo tunaomba mtukumbuke nasisi mtuletee umeme tufanane na kijiji vingine @tanescoyetu @Nchaliko @atashasta @ChukuaHatua
Zahanati yetu ya #Biturana #Kibondo #Kigoma haikidhi haja kwani jengo hilo ni dogo tuombe serikali itusaidie jengo kubwa @JaylosK @JosephKajuli @billmarwa

Shule ya msingi #Biturana #Kibondo #Kigoma ina upungufu wa madarasa hali inayopelekea kukosa sehemu ya kusomea kwa watoto @IssackKatabizi @JosephKajuli @billmarwa @atashasta .

Ni hali ya kuigwa kwa kanisa la #AsemblesofGod(AGT) #Biturana #Kibondokigoma wakisaidia kufanya usafi kwny zahanati iliyopo hapo. Tuombe makanisa na taasisi nyingine ziunge mkono ktk kuboresha penye huduma km hizo. #Chukuahatua @umwalimu @Kajuli_JSK @JamiiForums
Last Seen Hashtags on Sotwe
Sissy
Seen from United Kingdom
gachagay
Seen from Argentina
ometv()() filter:native_video
Seen from Germany
GobarVijayGoel
Seen from United States
ๅคงๅ็ช็ฅญ
Seen from United States
ripplesanddroplets
Seen from United States
momson #nolimit
Seen from United Kingdom
gt3
Seen from Indonesia
nicoletteshea
Seen from Mexico
Omegle
Seen from France
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.3M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.3M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.1M followers

X 
@x
60.8M followers








