Afisa tawala Wilaya ya Kilwa ndugu Haji Balozi akitoa hotuba ya ufunguzi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya wakati wa mkutano wa wadua wa sekta ya uziduaji Wilayani Kilwa juu ya uwajibikaji wa makampuni ya uziduaji kwa jami(CSR). @OxfamTz@HakiRasilimali_@osiea@policy_F
Me nawakubali sana @MasPrint2 kwasababu ya creativity halafu hawana bei yaani ni kitonga tu.
Wakati ni sasa! Kampeni zinanoga na vibango bango๐
@MwanaFA@BabuTale@jgwajima
Shule kufungwa kwa muda mrefu ili kuwalinda wanafunzi na #COVID19 inawaumiza wanafunzi hao kwa njia nyingine.
Mashirika ya @WHO na @UNICEF yataka shule Afrika zifunguliwe kwa njia salama.
Zaidi: https://t.co/LX7DUQC3xn @UNICEFTanzania
Nimepokea kwa heshima kubwa maamuzi ya chama changu.Nawashukuru wananchi wa jimbo la shinyanga mjini,viongozi wote wa chama changu ngazi zote kwa kunipa fursa ya kuwa mbunge kwa miaka kumi.Tushikamane kukipigania chama kiweze kushinda uchaguzi mkuu.Binafsi nitashiriki kikamilifu.
Usiogope kuonyesha kazi zako, mafanikio yako na zaidi usiogope kuwa wewe. Wapo wengi wameshindwa kutimiza maono yao kwasababu ya kuwa kama wengine. Jitahidi uwe WEWE. #Wanawakesasa#ZuiaUkatili#WomenInNewsRoomTz
Afisa kilimo wa kilimo Hai(kilimo ambacho hakitumii mbolea za kimekali) Mr Daniel akigawa Tshat kwa vikundi mbali mbali vya boda boda ,lengo ni kuhamashisha na kujitangaza kwa jamii waje kununua kwa wingi mboga za kilimo hai ili wakulima wetu waweze kunufaika.

Kikao cha Kamati ya PETs Wilaya Kigoma ,Kikiongozwa na Kaimu mkuu wa wilaya ya Kigoma, Wadau kutoka Mamlaka ya Maji KUWASA, EWURA CCC,Ofisi ya Mkurugenzi Manispaa ya Kigoma Ujiji,PETs Members na NYDT Team!

Mbona Twitter umepoteza muelekeo?Twitter siku hizi umekosa maadili.Mbona Twitter siku hizi umekuwa na mapungufu ya Content?
Naona siku hizi Twitter umejaa utoto na Mizaa,Twitter unawafanya Wadau wanaacha kupost vya Maana eti Wanapost Viatu Vibovu.@tonytogolani waelimishe Vijana.
Mungu ni mwema. Na leo pia hatuna case mpya za COVID19. Mgonjwa wa Kagera (Ngara) amepona. Sasa jumla ya waliopona ni 3. Mgonjwa aliebaki wa Arusha vipimo vyake siku ya 9 leo ni Negative. Tutampima siku ya 14 ili kujiridhisha kama amepona. Wengine 15 waliobaki wanaendelea vzr
Hawa wanasisa wanatuminisha kujiondoa kwenye mchakato wa uchaguzi wanaoje wangejiondoa hata kwenye madaraka waliyonayo yaani ubunge hasa hawa wakubwa wa vyama ili tumaini zaidi?