Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia.
Picha pamoja kati Viongozi wa mtandao wa waraghbishi wilaya ya Mbogwe na wawezeshaji ktk Semina ya Haki za Binadamu mjini kahama kupitia Oxfam Tanzania.Lengo kuondokana na tabia ya unyanyasaji na ukatili wa kijinsia na mimba za utotoni #ChukuaHatua @umwalimu
Leo Tarehe 5.4.2019 tulikuwa na mkutano wa Hadhara kijiji cha #Biturana na watu wa shikika la DRC mkutano ukliohusu upatikanaji wa maji safi na salama na usafi wa mazingira @atashasta @Kajuli_JSK @JosephlnaN
Mradi wa utawala bora na uwajibikaji umekuwa chachu ktk kuelimisha na kutoa elimu kwa jamii yetu kwa mikoa #Kigoma#Mtwara#Geita na mikoa mingine; hivyo tunaomba mradi huo undelee. Viongozi na wadau wengine wafanye jitihada ya kuomba mradi kuendeza nchi. @OxfamTz@billmarwa
Ni hali ya kuigwa kwa kanisa la #AsemblesofGod(AGT) #Biturana#Kibondokigoma wakisaidia kufanya usafi kwny zahanati iliyopo hapo. Tuombe makanisa na taasisi nyingine ziunge mkono ktk kuboresha penye huduma km hizo. #Chukuahatua @umwalimu @Kajuli_JSK @JamiiForums
Shule ya msingi #Nyampengere madarasa hayatoshi yaliyopo ni machache kulingana na wanafunzi ambao ni wengi tuombe serikali itusaidie kwani watoto wanakosa pa kusomea #Chukuahatua