Kuna mbunge mmoja kanifurahisha leo ety kaja na mjadala wa 2020 tusifanye chaguzi ya Raisi bali ifanyike ya wabunge na madiwani rais abakie kuwa @MagufuliJP ili tuokoe pesa ya kampeni kwan hana mpinzani na aliekuwepo yupo nae chaman😁😁😁
Toa maoni yako na wewe
“Tunaendelea kufanya uhakiki na mpaka jana tumeongezewa bil.100 ambazo zinafanya jumla ya bil.500 za kulipa, tutahakikisha hadi tarehe 15 mwezi huu tutakuwa tumewalipa wakulima kwa kiasi kikubwa”-Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa
Nimetembelea hospitali ya ligula mkoani mtwara ktk maeneo ya maabara choo sehemu ya wanaume kuna tundu 2 tu na1 bovu hali ambayo inaleta foleni kwa wagonjwa na wauguzi waendapo kujisaidia. Wizara ya AFYA ituekebishie @kais@billmarwa@kefarmbogela@mohamed_mkulima@zahratunda
“Malengo ya Serikali ni kuhakikisha vijiji vyote vilivyopo kwenye mpango wa kupata umeme wa REA vipate umeme huo kwa kadri ilivyopangwa”-Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa
“Kama nisingeenda kliniki nisingejua nina watoto mapacha. Kwenda kliniki mapema kumenisaidia kutunza ujauzito kwa kipindi chote na leo nimejifungua salama.” - Rahma Ibrahim alijifungua watoto mapacha siku ya mwaka mpya 2019.
#JiongezeTuwavusheSalama#ForEveryChild
#CHIKUAHATUA huyu Mwanafuzi wa sekondali ya NANGURUWE KATA YA NANGURUWE MKOA MTWARA V . baada ya kukosa kutumia fimbo mwalimu ametumia kumpiga kwa KICHWA hili kosa la tatu kwa mwalimu huyo #HAKIELIMU @ Magufulijp @MOHAMEDMKULIMA @Msoapomtwara@Joycendalichako
Zana ya Uraghabishi baazi ya wajumbe muono wao udai tunaharibu Maendeleo kwa kuwa warisha zoea kuandikia vibaya mapato ya kijiji. Walio tuelewa wamegindua kumbe tunachochea Maendeleo ya kijiji NAMAHYAKATA B @BIImarwa @Mohamedmkulima @Msoapomtwara