Sasa kilio cha shule ya msingi kimepungua kwani shirika la seve the children limepunguza kilio chetu kwa kutujengea madarasa pamoja na ofisi ya walimu @chukuahatua_@jpmagufuli
Jamani kumekuwa naa usumbufu kwa wale waliojiandikisha majina ili kupata vitambulisho vya taifa hawa waliowekwa kuandika hawajui kutumia komputer serikali iangalie wajuzi wanaofahamu siyo kuleta usumbufu kwa wananchi wameshindwa kufanya kazi kisa kufuatilia majina ni wapi yaliko
Jamani wazazi ambao hawataki kuruhusu watoto kwenda shule mnawanyima haki yao ya èlimu acheni mtindo huo sasahivi ni elimu bule. #serikalichukuahatua dhidi ya wazazi wa jinsi hiyo @majaliwa_kassim@JoyceNdalichako
Natoa zangu shukrani kwa Mh;@Rais wetu @MagufuliJP kwa jitihada zenu za kutulinda pamoja na@wazirimkuu @majaliwa_kassim tumeanza kuziona kwa kutuma vijana wako askali polisi kwa kweli hawalali.Yamkini #Kibondo yetu itapata Àmani kwa ajili ya majambazi.Pongezi sana #ChukuaHatua
Kazi yrtu ss waraghabishi ni kutoa taarifa sahihi kwa viongoziwetu ili tuwe pamoja nao ili kutokomeza hali ya machafuko nchini nchi yetu iwe na amani #chukuahatua @MagufuliJP@majliw
Nalipongeza jeshi la polisi #Kibondokigoma kwa kuyaua majambazi najua serikali inatupenda ndiyo maanainasaidia kutulinda. Lakini majambazi kibondo yamezidi. Waziri mkuu alisema hataki kusikiamajambazi tena kibondo lakini bado yapo.#ChukuaHatua@majaliwa_kassim
Pamoja na utawala bora lakini pia mafunzo yetu pia ni pamoja Haki za binadamu tumekuwa na mafunzo hayo sharti tusaidiane na serikali kuzuia unyanyasaji wa aina zote #ChukuaHatua @jpmagufuli@majaliwakasim