Hii ni bicon ya eneo la kituo cha afya Nanguruwe Mtwara vijijini ambalo linaonyesha ukubwa w eneo ni ekali 30 na sio 24 kama alivyosema mwenyekiti wa halmashauri ya Mtwara. Tunawaomba viongozi wetu wawe waadilifu @msoapomtwara @umwalimu @Jpmagufuli
tunawashukuru sana @OxfamTz na @msoapomtwara kuchagua vijiji vyetu kwa ajili ya mradi wa utawala bora na maendeleo sambamba na kutupatia elimu ya haki za bidamu. sasa tuna thamani kubwa kwenye jamii zetu @msoapomtwara
"Kuwepo kwa Waraghabishi kumesaidia idadi ya Kesi nyingi sana za Unyanyasaji kwa kijinsia kupungua kuripotiwa ktk ofc zetu hususani Vijiji ambavyo Waraghabishi wapo Kuanzia mwezi wa Kumi 2018 " @OxfamTz John Kavishe
Afisa Maendeleo ya Jamii Mtwara
#TokomezaUmasikiniMtwara
5SELEKT (Saa 11:00 – 12:00 Jioni) CRAZY THURSDAY
Staa gani unatamani kukutana naye?
Share pia comment kwa wingi ili picha yako ipate nafasi ya kuwa picha ya siku, comment yako inaonekana kwenye runinga muda huu.
#5SELEKT
Hii siyo haki muda wa siasa umepita. Ajabu ilioje Nanguruwe kuna taasisi nyingi, shule za msingi3 Sekondari1 kituo cha afya 1. Ofisi za vijiji3 makanisa5 misikiti8 N.K. Cha ajabu zinapigwa siasa. Tunaomba @tanescoyetu#ChukuaHatua muliangalie kwa upana @mohamed_mkulima
Wananchi wa kijiji cha Nanguruwe mkoa wa mtwara watoa malalamiko kwenye mkutano wa kijiji juu ya swala la umeme wasema ivi kijiji cha nanguruwe tutapatalin umeme mbonanguzo za umeme zmepita barabaran tu? #chukuahatua@tanescoyetu @WizaraUUM @MagufuliJP
Umuhimu wa Waraghabishi katika jamii ndio huu. Baada ya kuitisha mkutano maalum wa kijiji cha Nanguruwe Mtwara. Wa kutoa mrejesho wa safari ya Dodoma wa kujifunza zaidi kuhusu dijitali inavyoleta maendeleo ndani ya jamii muitikio kama unavyoona @OxfamTz#Chukuahatua @
#MTWARA:Mwanafunzi Mmoja anasadikika Kufariki, huku wengine zaidi ya 20 wa kidato cha tatu ktk Shule ya Sekondari ya Kutwa Mikindani,wakikimbizwa Ligula Hospital (wengine zahanati Mikindani),baada ya kinachodaiwa wamepigwa na radi wakiwa darasani asubuhi ya Leo.#BecaLoveUpdates
Tunashukuru sana @zanteltz kwa huduma nzuri hasa vijijini. Lakini mnatubania sana swala zima la internet hapa Nanguruwe Mtwara vijijini. Watu wengi smartphone wanazo wanalalamika tunapata two G. Tunaomba mutufikirie watu wanasuasua kuingia sababu hiyo #ChukuaHatua @mohamed_mkulim
Tumia Ezypesa USHINDE!!
Simu thelathini kutolewa kila wiki, droo mpya kufanyika kesho, unaweza kuwa mmoja wa washindi thelathini wa wiki. Unachotakiwa ni tuma na pokea pesa mara nyingi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda.
Piga *150*02#
Ni EASY na EAZYPESA!
Hilo jambo mfafanuzi mzuri ni Afisa mtendaji wa kata maana yeye ndiye mwenye dhamana kuhusu swala hilo. Lakinipia kuna mradi mungine ambao wanachukua kiasi cha sh
.200000 mtaji wa sh.7000 kama vile mtaji wa maandazi.
Hii kitu kwetu ni utata mtupu,mheshimiwa kasema tusilipe hela wala kusumbuliwa kama unacho ila huku wanatulazimisha tutoe kama hatutoi soko halifanyiwe usafi,tunaomba ufafanuzi zaidi @TZMsemajiMkuu@selemani_jafo@MagufuliJP@mohamed_mkulima
Hii sasa khatari hadi watoto ni makatiri kiasi hiki. Elimu ya kutosha itolewe kwa watoto ya kupanga vitendo vya ukatili huenda yakapungua ikiwezekana yakaisha kabisa @TZMsemajiMkuu@eastafricatv#ChukuaHatua
Kupitia utawala bora na uwajibikaji kwa njia ya dijitali jinsi inavyoleta maendeleo vijijini. Leo tarehe 28/2/2019. Waraghabishi wa kata ya Nanguruwe Mtwara(v) tulikwenda ofisi ya kata kutoa mrejesho wa safari ya Dodoma @OxfamTz#Chukuahatua@msoapomtwara@mohamed_mkulima
📸: Wachezaji wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Namfua hapa mkoani Singida. Kesho asubuhi wataondoka kuelekea Shinyanga ambako siku ya Jumapili watacheza mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Stand United. #SimbaInSingida#NguvuMoja
Hiyo haina ubishi. Na mashirika mengine waone kama changamoto kwao ikibidi hata kwenda kuomba mbinu kwa @OxfamTz@msoapomtwara#ChukuaHatua@billmarwa kwa sababu kazi kubwa ambayo wanaifanya kwa ajili ya kuwaletea maendeleo wananchi vijijini @mohamed_mkulima