Tunaomba serikali itusaidie kuchimba visima vya huduma ya afya katika hospitali ya wilaya kibondo hatuna maji wagonjwa ndo wanao nunua maji tunaomba msaada @kitilam@MagufuliJP@JosephKajuli
Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia.
Kwa kweli ujambazi umezidi kibondo tunaombwa tusaidiwe usiku wa tarehe 30/3/2019 kibondo hakuna kusinzia serikali tunaomba muingilie kati juu ya jamii hakuna amani.
Hapa tulikua tumehitimisha mafunzo yetu ya haki za binadamu pamoja na mazungumzo ya mbalimbali tukiwa na viongozi mbalimbali tunashukuru viongozi kwa mwitikio wao @BitamaDavid@JosephKajuli@billmarwa@OxfamTz kwa kutengeneza kikao hiki @ChukuaHatua
Waraghabishi Kigoma hivi ndivyo tunavyooanza safari kurudi majumbani, baada ya kumaliza mafunzo muhimu ya haki za binadamu. Wakufunzi wakiwa ni polisi, Hakimu, wilaki, Afisautumishi wilaya ya kibondo. Tuchape kazi kwa mstakabali wa Taifa latu. @MagufuliJP@billmarwa#chukuahatua
Kuanzia leo nikienda kwenye mikutano ya hadhara situmii salaam kama “Assalaam Alykum” or “Bwana Yesu Asifiwe” nisije nikakiletea Matatizo chama chatu CCM nakuonekana kinabagua wasiokua na Dini. “Tafakuri yangu Tahadhari kabla ya Mauti “
Mraghabishi siku zote Ni mpambanaji kwa ajiri ya kuleta maendeleo ya wananchi hasa pale unapo washilikisha wananchi wenzako #kitahana#chukuahatua@JaylosK
Mafunzo tuliyoyapata toka kwa Mh.Hakim wa mahakama ya mwanzo Emaklate Shuli juu ya haki za Binadamu,ambavyo kila mtu anahaki ya kujieleza,kuishi,kuabudu pamoja kupata Elimu @JosephKajuli@atashasta@AGwandiko@bahumtma .