Nikiongea na vijana wa Kisarawe na waliotoka nje ya Kisarawe kwa lengo la kushiriki kwenye kilimo na maeneo tumewapatia nini kilinisukuma kufanya hii ziara ya siku nzima na vijana hawa. Natarajia kupata kizazi cha vijana wa Kisarawe wanaoshiriki kikamilifu kwenye kujenga uchumi!!
Hiini Barabara toka Nyakanazi to Kigoma tunaomba serikali yaawanu ya tano ikomakinisana hii Barabara ikamilike kwa wakati.@atashasta@MagufuliJP@majaliwa_kassim#chukua hatua.
Ni hali ya kuigwa kwa kanisa la #AsemblesofGod(AGT) #Biturana#Kibondokigoma wakisaidia kufanya usafi kwny zahanati iliyopo hapo. Tuombe makanisa na taasisi nyingine ziunge mkono ktk kuboresha penye huduma km hizo. #Chukuahatua @umwalimu @Kajuli_JSK @JamiiForums
Leo Tarehe 23.4.2019 waraghabishi wa kijiji cha #Biturana tume tembelea zahanati yetu Dr. Akasema changamoto upungufu wawa hudumu tuna wahudumu wawili tu na zahnati yetu ni ndogo wagonjwa wengi sana tunaomba serikali mtu ongezee wa tumishi.@umwalimu
Leo Tarehe 5.4.2019 tulikuwa na mkutano wa Hadhara kijiji cha #Biturana na watu wa shikika la DRC mkutano ukliohusu upatikanaji wa maji safi na salama na usafi wa mazingira @atashasta @Kajuli_JSK @JosephlnaN
Hii ni Barabara inayo toka kijiji cha #kumwambu hadi shule ya sekondali #Biturana tuna omba serikali watu wekee mramu maana mvua ikinyesha hapapitiki.@atashasta @Kajuli_JSK @majaliwa_kassim .
Kweli nimefarijika sana,ni masaa mawili tu tangia niritweet twitter ya #ruhotola mara mkuu polisi #Ottieno katoa habari ya kuuwawa majambazi watatu huko #Kibondo Hongere Serikali sikivu,#chukuahatua#ruhotola
Picha pamoja kati Viongozi wa mtandao wa waraghbishi wilaya ya Mbogwe na wawezeshaji ktk Semina ya Haki za Binadamu mjini kahama kupitia Oxfam Tanzania.Lengo kuondokana na tabia ya unyanyasaji na ukatili wa kijinsia na mimba za utotoni #ChukuaHatua @umwalimu