"Nimepata mapokezi makubwa Simba, moyo unapenda unapo thaminika. Kiukweli nilikuwa nawaonea wivu sana Wanasimba. Asanteni kwa kunikaribisha."- King Kiba.
#UnyamaMwingi#NguvuMoja
Konde Boy, @LuisMiquissone kwa mapenzi makubwa anawakaribisha Wanasimba wote katika Simba Day 2023. Ni siku kubwa na muhimu kwetu, hakikisha unakuwepo uwanjani. #UnyamaMwingi#NguvuMoja
Hongera kwa washindi wetu walioshinda Platinum Tickets. Na wewe pia unaweza kuwa mmoja wa washindi wa Platinum Tickets zinazotoka LEO.
Shiriki Sasa na wewe uwe Bingwa!
Jinsi ya kushiriki ingia kwenye menyu ya Vodacom M-Pesa | Tigo Pesa .
- Chagua lipa Bili
- Namba ya Kampuni 909192
- Kumbukumbu namba neno "SIMBA"
- Kiasi kuanzia Tsh 1000 au Zaidi.
Kwa wale wa Airtel Money,
Chagua Lipa Bili kisha, namba 6 Bahati Nasibu, Kisha andika namba 27.
Maelezo zaidi Huduma kwa wateja 0748 772 990 @ShabikiBingwa_
#UnyamaMwingi #NguvuMoja
@SimbaSCTanzania Binafisi nitamuulza juu ya malengo yake kwenye timu yangu pendwa coz tunachotaka sisi ni SIMBA kuja kuwa club kubwa Africa Yuko tayari kupambana ili kuikuza brand yetu?????
Kibegi kilichokuwa na jezi zetu na kupelekwa juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro imeuzwa kwa Sh. 2,500,000 kwa Saleh Majapa katika Mnada unaoendelea katika ofisi za Azam TV. #UnyamaMwingi#NguvuMoja