@KenyanSays Kumbukeni kutengeneza Pili pili nyingi hawa wasenge sio wakuucha Ni kumwaga Kopo za Pili pili nyingi na Upupu Chukua kile unachoweza kujilinda … Police wan Rungu na Chuma
BABA YETU CLEMENCE MWANDAMBO AMETEKWA NA JESHI LA POLISI MBEYA KWA KUSEMA UKWELI KUHUSU MARIDHIANO.
Clemence Mwandambo ni ndugu yangu ametekwa leo nyumbani kwake karibu na hospital ya rufaa ya mbeya na watu waliojitambulisha kwamba ni Polisi wakiwa na silaha za moto walimchukuwa kwa nguvu na kumtupia kwenye gari na kutokomea nae kusikojulikana, naomba mtusaidie kupaza sauti.
Hii ndio hali inayoendelea kila kona ya Nchi ukiwa tuu na akili za KUHOJI NA KUKOSOA serikali. Na hawa ndio wanataka Maridhiano nchi iwe na AMANI.
#FREEMWANDAMBO
#FREEMWANDAMBO
#FREEMWANDAMBO
REPOST 500
#TUTAKUWEPO🫵😎