Ofisi ya NIDA Ukonga
Unafika pale kuanzia saa tatu asubuhi
-Unaandika namba yako ya NIDA na jina lako kwenye karatasi, wanakuja wanakusanya halafu wanaondoka
-Wanakuja kurudi saa tisa halafu wanakwambia system inasumbua (system yenyewe ni yakusign kama umechukua hicho kitambulisho, inamaana hawawezi kutafuta njia nyingine yakuthibitisha kama mtu kachukua kitambulisho chake)
-Ukiuliza wanakwambia subiri, bila maelezo yakutosheleza
-Unapoteza siku nzima bila kufanya kitu cha maana hapo umeacha kazi zako za ujenzi wa taifa na umepoteza muda.
-Remind you umetumiwa message kua kitasitishiwa matumizi
-Kuna mama toka mwezi wa nne, anafuatilia kitambulisho pale na hajapewa
-Ni huzuni mtu kutumia wiki nzima kushinda kwenye ofisi za NIDA na mtu hupewi Kitambulisho chako kisa sababu zisizo na mashiko
Ni huzuni sanaโฆ