MFUMO
Tunaishi kwenye ulimwengu ambao umefungwa kwenye kanuni ya kutafuta na kuona,
Matthew 7:7
This means
👉👇👇
Chochote tunachokiona kwa wapendwa wetu, au watu wetu wa karibu (Good or Bad)
Ni matokeo ya kile tulichokitafuta na kukiona
Qn.
UNATAFUTA NINI.?
@vee_ki_toria More Money
More blessings
"Nawe utakuwa kama mti uliopandwa kwando ya vijito vya maji, uzaao matunda kwa majira yake, jani lake halitanyauka na Kila ulifanyalo LIMEFANIKIWA."📍
This one is very close to the heart, you could wake me up at 2am to play this music and i would…🥹🥹🥹❤️❤️❤️decided to do a lil tribute to my lil sis since her passing continue to rest Zee…🕊️🕊️full version will be on my YouTube channel..