" ... Nena Bwana, Kwa kuwa Mtumishi wako anasikia..." 1 SAM 3 : 9
Ni Siku ya Furaha kwangu ikiwa ni kumbukumbu ya Kuzaliwa kwangu na kumbukumbu ya kufunga Ndoa Takatifu
Ninawashukuru Nyote kuwa sehemu ya furaha na maisha yangu hapa Duniani. Mwenyezi Mungu atubariki sote
Nikibadilishana uzoefu na Dkt. Jiaming Miao, Naibu Mkurugenzi wa Kituo cha Amani cha Umoja wa Mataifa Ukanda wa Africa (The UN Regional Center for Peace and Disarmament in Africa, UNREC)
kwenye Jukwaa la Wabunge Vinara Afrika wa Udhibiti wa Biashara Haramu ya Silaha Ndogo Ndogo
Heko Sekretarieti ya CCM Mkoa wa Tabora, Heko Kamati ya Siasa ya Wilaya na Sekretarieti Wilaya ya Igunga, Heko Viongozi wa Kata, Matawi na Mashina, Heko Wana CCM
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus Ngassa akiwa na baadhi ya Wabunge wa Kamati za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye hafla ya uzinduzi wa Kituo cha kupoza Umeme Ifakara.
Uzinduzi umefanywa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dotto Mashaka Biteko.
Nimeibiwa laptop yangu asubuhi hii Magufuli Stand Mbezi.
Laptop ina project zangu za muhimu sana, kwa yoyote ataekutana na Macbook Pro 16” 2019 naomba tuwasiliane 0716550126.
Nipo tayari kulipia gharama za usumbufu.
Please Retweet
@officialhimsel1 Nadhani hizi comparison zinakuwa na malengo mengine( engagement may be) tofauti na technical review. Unaposema software flan is better than the other, come with technical comparison and review na sio tu utashi wa mtu binafsi.