@SimbaSC_EN Halafu tuanze kutafuta mchawi,wakati timu zinatafuta mastrika,Simba tunatumie hela za usajili kusafiri Dubai...tuleteeni viongozi wanaojua scouting ya wacheji.oohh mazooki anakuja ,ooh sijui micsoni..buree kabisa..
@PabloYende Hapo ndio mnafeili mtihani.angalieni vizuri.mwaka wa safari ni 2002..maisha yalikuwa poa.kwa 225000 ilikuwa ni faida kubwa sana na hata wenye mahari kama zuberi ,mohd trans,walikuwa na mahari mengi tu.