The adorable, intelligent, amazing, inspiring, talented, beautiful and extremely creative leaders re-shaping Africa's narrative one day at a time.
#MyDayinYALIRLCEA @YALIRLCEA cohort 34
@feminature@AnnetLekuru@jes_mueni
Mwaka1991, wakuu wa nchi wanachama wa OAU walianzisha #SikuYaMtoto kukumbukumbuka uasi dhidi ya wanafunzi huko Soweto, Afrika Kusini. Wakati huo, wanafunzi waliandamana dhidi ya elimu duni ya kibaguzi waliyopewa na serikali ya kibeberu na kuomba kufundishwa kwa lugha zao wenyewe.
Je! Tuko tayari kuwalinda watoto?
Kwa taarifa au msaada juu ya masuala ya ukatili kwa watoto tafadhali piga simu namba 116 bure!
Tembelea akaunti zetu, Twitter @scitanzania na Facebook @SavetheChildrenTanzania
Na tovuti -www.savethechildren.net
Unafikiri kwenye kipindi hiki Watoto wapo nyumbani, wafanye kazi gani? Je, Tuko tayari kuwalinda Watoto?
Kwa taarifa/msaada juu ya masuala ya ukatili kwa watoto piga simu namba 116 bure!
Twitter @scitanzania na Facebook @SavetheChildrenTanzania
#TukoTayariKuwalindaWatoto
The #ClimateCrisis undermines children's rights to survive, learn and be protected.
This #WorldEnvironmentDay we call on governments to put children and their rights at the centre of their climate crisis mitigation and adaption actions.
Je! Tuko tayari kuwalinda watoto?
Kwa taarifa au msaada juu ya masuala ya ukatili kwa watoto tafadhali piga simu namba 116 bure!
Tembelea akaunti zetu, Twitter @scitanzania na Facebook @SavetheChildrenTanzania bofya link hii hapa chini kufahamu zaidi.
https://t.co/cnsfYL8Rk1
Je! Tuko tayari kuwalinda watoto?
Kwa taarifa na msaada juu ya masuala ya ukatili kwa watoto tafadhali piga simu namba 116 bure!
Tembelea akaunti zetu, Twitter @scitanzania na Facebook @SavetheChildrenTanzania ili kufahamu zaidi.