#Nasikia kesho kuNa mAombi Maalumu kwa Wahuni wOte walio felisha dada zetu kidato cha 4..
#ukisikia taarifa hii mjulishe na mwezako ajitahidi kuhudhuria Maombi ay0
#mimi napenda iwe ivo
#wewe upendi iwe ivo
#kwa iyo usinilazimishe mimi niishi kama unavyopenda wewe
#kila mtu aishi kama anavyopenda yeye kwani kuna tatzo kila mmoja akiishi anavyopenda yeye