Watu wenye moyo wa utu wanaosaidia waathirika katika kipindi hiki kigumu
Mwenyezi Mungu azidi kuneemisha riziki zenu kila mtakalo gusa lifanikiwe, tusichoke kusaidia 🙏❤️
Kwa watanzania wote hasa waliokufa wakitetea nchi yao, Mwenyezi Mungu awape Pumziko la Amani na wagonjwa, majeruhi wote tunawaombea mpate hafueni mapema.
Mko katika Maombi Yetu🙏❤️Ayubu 1:21.
Kesho tutapiga stori na Wapwa kutoka Kenya @janetmachuka na @kagire kutoka Rwanda katika kuangalia nafasi ya MLAGHABISHI WA KIDIGITALI KATIKA KUKUZA CHAPA (BRAND) YA BIASHARA AU HUDUMA .
Ahsanteni Sana jamhuri ya @wapwatuinuane Kwa kutuona sisi.
Tukutane kesho
#WapwaTuinuane
Sawa ubunifu ni kuongeza thamani lakini baada ya hapo kuna kulishawishi soko au mlengwa husika ili tija ipatikane.
Karibu katika banda letu jamuhuri Dodoma wiki ya ubunifu na tarehe 19 tutakua na mafunzo kwa wabunifu juu ya kutafuta masoko na kufanya biashara.
#MAKISATU2020