Singida Big Stars ni timu nzuri sana lakini inapaswa kufanya maboresho hasa kwenye dirisha kubwa kwa kuleta wachezaji wengi vijana.
Project yao ya kuhakikisha hawashuki daraja imeshatick, Project yao ya kuwinda nafasi moja kati ya nne za kimataifa nayo ipo ndani ya uwezo wao ila