@PresenterNoah Ulaya hakuna mfuko wa bure, u buy goods na kifungashio. Tatizo hapa kwetu tunapenda sana vitu vya bure. Even hata hapa kwa majirani ukininua kitu wataku charge na mfuko.
@Adventure_36 Hawa wapuuzi wa ABC walitaka kuniua pale ubena, ka overtake malori akakomaa kubaki upande wangu. I bet hata hii watakuwa wamemchomekea tu.
@Labella_Mafia95 Hivyo ndivyo namna biashara hufanyika ndugu, hakuna tajari/mfanyabiasha makini anatoa pesa yake mfukoni. Unahitahi akili tu ya kuandaa andiko lako na likakubarika