@WideEdson Kwani nyie mmemfunga nani na Hao, club bingwa mmeahika mkia, hapa Tanzania azam kawashona, yanga mmesare nao je? Wachezaji wako utasemaje ni wa mechi kubwa.
@Kimbesa11@eastafricatv Kwani Tanzania ๐น๐ฟ ina umeme kila eneo, Je Tanzania ina Reli ya umeme SGR inayokwama kila mara unazungumzia. Point za chatgpt unakuja nazo hapa. Caption ya mwisho ujasoma chatgpt can make mistakes check your information