Sijui sasa Iddi Amini Mama anakwenda kufunga misikiti yote au inakuwaje?
limesomwa neno hapo na sio mama ambayo huyo dikteta anakubaliana nayo
Mmechokoza sana vitu sasa tunasikia sauti za kina namna kupinga urais wa Samia, haya yanatokea sababu ya hizo roho chafu anazofanya