Nilitaka kusema, “Tazama huyu mtoto wa Rais Mstaafu Kikwete anavyojipotezea heshima waziwazi.” Lakini nikasita, ndipo nikagundua kuwa mtu hawezi kupoteza kitu ambacho hana.
@mwananchidr Yeye anakula vya bure,analala bure,anakunya bure, anasafiri bure,yaani kila kitu kwao ni bure,hawawezi jua mateso huku chini watu wanapokea kutoka kwenye serikali hii kandamizi inayoongozwa na magaidi ya ccm,afunge mdomo maana tukipata uhuru tunaanza na utajiri wao #tutaelewanaTu
@MariaSTsehai Ujumbe unafika kwa sauti kabisa,hadi wasanii sasa wanafahamu nini watatakiwa kuongea stejini na kwenye kurasa zao,ile hashtag yako ya #tutaelewanaTu imefika sehemu yake sasa.
Kuficha wizi na ufisadi kwa hoja kwamba waliotoa taarifa za wizi huo wanatumika ni kujificha kichwa kwenye mchanga kama Mbuni, wakati mwili wote uko wazi.
Njia sahihi ni kuchukua hatua na sio kutafuta wa kulaumu wakati mnafuga wezi na mafisadi wapya!
Usafi utangulie kwanza .
@royalmediatz Nani kawakataza kuridhiana?nyie fanyeni upande wenu,ila Chadema bado msimamo ni ule ule,hadi uwajibikaji kwanza ndo wakae na wauaji kukubaliana lipi liende na lipi libaki.
@mangekimambi@gkinabo1 Pesa anazoiba kwa gharama ya ndugu zetu ataila ipite kooni mithili ya chupa zilizosagwa. Hatopata amani maisha yake yote yaliyobakia.