Nimemsikiliza mkuu wa mambo ya nje na zile barua zake 25, nimecheka kweli kama mazuri! mkuu wa mambo ya nje asiyejua historia ya nchi yake mpaka ategemee wa jalalani! Interesting ni kwamba baba yake alikuwa mwanasiana mkongwe huko kwao na right-hand man wa Mwalimu kwenye masuala ya siasa kwao, ungetegemea basi angalau angekuwa na interest ya kujifunza historia ya nchi yake!
β¨
Hakuna kitu kibaya kama hujui kama hujui na kibaya zaidi ni pale kutokujua huko kunapogeuka kuwa ujasiri wa kuwashawishi wengine kuwa nao hawajui.
@TheChanzo Sijui wanatutafutia nini hawa watu, kila nikikumbuka kilicho wakuta kina Polepole tusi linaishia kooni...acha nipate dhambi ya rohoni ila tusi lake uko alipo kishalipata
Premier League Champions!!! What a moment!!! What a season!!!!!!!! EPIC!!!!!!!!!! πππππππππππππβ₯οΈπ€ @arsenal#comeonyougunners!!!