@muhaluro1 Wewe ni mjinga. Sio kazi yetu hii. Au wewe unaishi katikati ya bahari?! Shida za maji naengineyo sio zako. Yeyote anaye Pinga mwanaharakati kipind hichi hana akili. Black is black mzee tulia time will tell.
@mangekimambi Kwa kipind kirefu nakua najiuliza hii airport haikui. Kumbe mpango huu upo. Airport inaboreshwa mitaro tuu mfumo aaghhh. Airport wageni au ndege za kimataifa zikitua hakuna mfumo wa service bora kusave mda. Wapokeaji wageni mnasubiri wageni mda mwingi sana.
@godbless_lema Tuko km nyingi sana nyuma kimaendeleo. Sahizi Dunia iko katika kipindi cha kupunguza ajira na kufanya kazi wakati huo huo vijana wa nchi yangu hawana hata kazi. Wakati dunia sahizi inasghulika na uzalishaji wa kila namna kupitia resources mbalimbali wakati huo tunahangaikia maji.
@IAMartin_@MwananchiNews There is no time for that. Technology is going against their clock. Sioni umuhimu wa magazeti katika hii nchi. Wamepotoka sana. Community yoyote jnayotumia magazeti kwa sasa imebaki chache tena wale wasioelewa hasa nini kinaendelea.
@Kategoladslaus3 Wakat huo dunia pekee ina asilimia 70 ya maji na iliyobaki ardhi. Tanzania ndo usiseme kila mahali kuna access ya maji. Nilidhani tunaenda mbele kumbe ndo tunarudi nyuma.
@mfinanga_j@publicwilltz@millardayo Sio juu ya kile ambacho kinawezekana au laah bali ni juu ya nini kinahitajika. Lugha ya kuweza au kutoweza ni lugha yenye option ya ndio na hapana.
#TajiriLaKihaya
WAISLAMU Kwa WAKRISTO Sisi ni Ndugu….
Tumeoana, tunaishi pamoja,Sisi ni marafiki… tunafanya biashara pamoja,Tunazika pamoja,tunahudhuria sherehe pamoja… katika familia zetu ni mix ya Wakristo na waislamu…
Kama mjomba wako sio dini tofauti basi atakuwa shangazi yako… Kama sio Binamu yako basi atakuwa shemeji yako…
kuna Waislamu wamesoma shule za wakatoliki na kuna Wakristo wamesoma Islamic schools…
Hata siku moja tusikubali kutengana,tusikubali kuchukiana…
Adui wetu sio Dini zetu… infact Sisi ni Ndugu…
Kila mtu hapa Akiulizwa vizazi 20 nyuma- mababu wa mababu zetu hawakua na hizi DINI… Sisi ni waafrika Sisi ni Watanzania…
hata siku moja kodi haichagui dini, sera mbaya zikitungwa bungeni hazichagui dini… mvua ikinyesha haiwanyeshei waislamu tu au wakristo tu… kifo kikija hakichagui Dini, wote tunakufa, Umasikini au Utajiri hauchagui DINI…
Kama Mungu Hatubagui,iweje Sisi tuanze kujibagua???
Tusikubali huu mchezo Divide and rule,,, tusikubali hii Tenga utawale inayoletwa kimya kimya….
Tusijadili DINI zetu maana mwisho wa siku itamfaidisha anaeleta hizi agenda…
Juzi tu tuliona- Zile Risasi hazikua zinachagua Dini… Lockdown haikua Kwa wakristo tu hata waislamu tulikua ndani… mtandao ulipokatwa hawakukatiwa Wakristo tu hata waislamu tulikatiwa…
Tusikubali kutumiwa…
Hata iweje hata siku moja KIJANA usifikirie Kuchoma MSIKITI Au KANISA…
Hata siku moja KIJANA usikubali kuchoma Qur’an au Biblia…
Vita za Dini ni mbaya saana … tusiende huko!
SISI TUNATAKA KATIBA MPYA, Tunataka tume Huru ya Uchaguzi, Tunataka KURA yetu iheshimiwa- Our votes must Count , tunataka viongozi tuliowachagua wenyewe… tunataka wafungwa wote wa kisiasa waachiwe… haijalishi ni Dini gani!
Tunataka Uhuru wa Vyombo vya habari, tunataka uhuru wa kutoa maoni, Utekaji ukomeshwe,watu wasiojulikana wafahimike…
ADUI WETU SISI SIO WAKATOLIKI AU WAISLAMU…
Adui wetu Sisi sio DINI zetu…
FOCUS 💯
Before end concert had one lucky shot with few blessed friend in music. God bless you guys😊😋 @ Cultural Arts Centre at Tumaini University Makumira - Arusha, Tanzania https://t.co/WXVO5EFFtL