๐น๐ฟ Extremely patriotic
๐ซ Non-tolerant to Bullshit
๐ง Vastly Liberal
๐ช๐ผ Power belongs to the people.
๐ Constitutional Reforms are inevitable.
@TitoMagoti Nasubiria majina ya hao wanasiasa na wanaharakati na mbinu za kusambaza pesa pamoja na mafunzo kwa vijana.
Pia nasubiria Mh kutamka reformation kwa taasisi zake ambazo zilishindwa kutambua hayo mapema na kuyazuia.
Anaitwa Pastor Katoki alikamatwa jana asubuhi boda ya Kasumulu yupo kituo cha Polisi Kyela mpaka leo, serikali hii haramu kukosolewa ndio imegoma kabisa.
Repost 200
TUTAKUWEPO๐ซต๐
@mfinanga_j@millardayo Ukisema "they Had to Kill" maana yake ni kwamba umewapa uhalali wa walichokifanya ambacho ni kuuwa waTanzania ili kulinda nafasi zao za kisiasa.
Ndiomaana nimeona kuwa kinachofanya tunachotofautiana hapa ni uelewa (shule).
Uwe na siku njema pia.
@mfinanga_j@JoeMpondakeyz@millardayo Serikali ya mpito unajua maana yake? Unajua hata maana ya neno mpito?
Kwahiyo maslahi ya kila mmoja ni mama yenu kuwa rais?
Binafsi ninaona hapa shida kubwa inaweza kuwa ni shule. ๐
@mfinanga_j@millardayo Nacheka kwanza kinge kabla sijaedelea ๐
Kwahiyo ilibidi waue maelfu ya waTZ ili waendelee kuwaongoza waTZ???๐
Kabisa unahalalisha eti had to kill. ๐