YANGA YAIKANDA SIMBA KISAWASAWA MAGOLI 5-1
Simba imefungwa Tano? Hilo siyo swali bali ni jibu la kile kilichotokea kwenye Uwanja wa Mkapa, #Yanga ikiibamiza #Simba magoli 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara
Magoli ya Yanga yakiwekwa wavuni na Kennedy Musonda (3), Max Nzengeli (64, 77), Stephane Aziz Ki (73) na Pacome Zouzoua (87) huku lile la Simba likiwekwa wavuni na Kibu Denis (9)
Kipigo hicho ni kama Yanga imelipiza kisasi kwa kile kilichotokea Mwaka 2012 ambapo Simba iliifunga Yanga magoli 5-0, Mei 6, 2012
Soma https://t.co/GhM7HiDuzF
#JFSports #JamiiForums
Msimu huu kimataifa majirani.
Simba vs power dynamos 2-2
Simba vs power dynamos 1-1
Simba vs Asec mimosas 1-1
Simba vs Jwaneng galaxy 0-0
Simba vs waydad 0-1
Simba kimataifa ni mtu mwingine kweli Hata sisi tunaona majirani.π π
Msimu huu kimataifa majirani.
Simba vs power dynamos 2-2
Simba vs power dynamos 1-1
Simba vs Asec mimosas 1-1
Simba vs Jwaneng galaxy 0-0
Simba vs waydad 0-1
Simba kimataifa ni mtu mwingine kweli Hata sisi tunaona majirani.π π
π―Simba kama mlijua kukomboa ni rahisi kama vile Yanga,mngekomboa tuwaone. Kwa kiasi kikubwa hughuli ya Simba imeishia hapa na kilichobaki wajipange kwa msimu ujao.