🇨🇩 DR Congo’s legendary superfan Lumumba was denied a visa to Mexico for the playoff final vs Jamaica... but nothing stops this man.
👏 He did what he always does: stood motionless like a statue for the full 120 minutes in front of a giant screen in his Kinshasa neighbourhood, as the Leopards qualified for the World Cup for the first time in 52 years!
🌟 Pure dedication. Pure passion. Pure legend.
🏟️ The World Cup stage needs Lumumba’s energy in the stands this summer.
❤️ Stand up for this icon!
❗️Marekani yaidhinisha mauzo ya silaha za dharura za dola milioni 151.8 kwa Israel huku kukiwa na vita dhidi ya Iran, na kupita mapitio ya bunge
Utawala wa Trump siku ya Ijumaa uliidhinisha uuzaji wa silaha wa dola milioni 151.8 kwa Israeli, na kuomba mamlaka ya "dharura" kupuuza
“Tumewaandikia barua Bodi ya Ligi, tukihitaji kupata ufafanuzi wa kina juu ya adhabu iliyotolewa na Kamati ya saa 72 kwa mchezaji Selemani Mwalimu. Msimu huu wachezaji watano wamefungiwa mechi 5 kwa kosa linalofanana na Mwalimu, lakini yeye amefungiwa mechi 3. Tunahitaji bodi iweke bayana kuna upekee gani wa tukio la Mwalimu lililoifanya Kamati ya saa 72 kutumia kanuni tofauti ya 41:5(5.2) na wengine watano kutumika kanuni ya 41:21.” – Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga SC
“Yeyote aliyoko Israel na anapenda kuishi, anapaswa kuondoka mara moja. Tunaelekea kwenye vita vya muda mrefu na mwisho wake utakuwa wa kutisha sana. Vita hivi vitaisha tu pale ambapo tutamuangamiza Israel.”
— Jenerali Abolfazl Shekarchi, Msemaji wa Jeshi la Iran🇮🇷
Huyu ndiye Dr. Nchimbi tunayemjua. Amechukua nafasi ya Polepole.
Jamaa amenyooka, na sasa ameanza kuwawakia wale wauaji wa October 29.
Dr. Nchimbi, tuungane tuwanyofoe hawa wahuni Wazanzibari
Utajiuliza CCBRT imetokea wapi, Dr. Slaa anahusika vipi?
Mwaka 1987 kuna mtu alikuja Afrika kama mwalimu, baadae akaanza kufanya kazi za kusaidia watu wenye ulemavu hasa wa macho akiwa na taasisi ya Christian Blind Mission (CBM), huduma hii ikamfanya akafika mpaka Rwanda, akaiona Tanzania.
Mwaka 1994 akafanya maamuzi ya kufungua NGO Tanzania ikiwa kama tawi la CBM, kwa msaada wa Dr. Willbrod Peter Slaa, ndugu Geert Vanneste, wao kwa pamoja wakafungua Christian Blind Mission (CBM) Rehabilitation Program in Tanzania wakiwa na lengo la kusaidia wenye ulemavu kwa kuwapatia matibabu katika jamii.
Baadae mwaka huo huo 1994 wakabadilisha jina, wakaita Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania yaani CCBRT, na ikasajiliwa kama NGO.
CCBRT ililenga kutoa msaada kwa watu wenye upofu na matatizo ya macho. Ilijitahidi kutoa huduma za matibabu ya macho, ikiwa ni pamoja na upasuaji na matibabu ya kutibu upofu.
Lengo la shirika hilo chini ya uongozi wa Dr. Willbrod Peter Slaa na Geert Vanneste lilikuwa kuboresha maisha ya watu waliokuwa wamekwisha kutengwa kutokana na ulemavu wao.
Baada ya miaka michache CCBRT iliongeza huduma zake ili kushughulikia aina mbalimbali za ulemavu, ikiwa ni pamoja na ulemavu wa kimwili. Walifanya kazi ya kutoa huduma za urekebishaji, tiba za mwili, huduma za upasuaji wa mifupa, na matibabu mengine, hasa kwa watu wenye ulemavu unaosababishwa na matatizo ya kuzaliwa, ajali, au masuala mengine ya afya.
Ikiwa na miaka 29 sasa, ikiongozwa na Dr. Willbrod Peter Slaa kama mwenyekiti wa bodi na Brenda Msangi kama CEO imefanikiwa kuwa moja ya hospitali kubwa isiyo ya serikali nchini Tanzania inayotoa huduma za kibingwa kwa mkoa waa Dar es Salaam na Kilimanjaro.
Hii ndio historia ya CCBRT
Tujivunie.
‼️🚨TAARIFA ZAIDI - UHUSIKA WA MAUAJI‼️
Naendelea kupokea taarifa za ndani
Rear admiral Amir Ramadhan Hassan anatuhumiwa kuendesha mauaji na kikundi cha makomandoo! Hizi tuhuma si za kupuuza ila shida ni kuwa hiyo Tume ya Rais haiwezi kuwa na ujasiri wa kuhoji!
Mi naweka hapa ili baadaye tukishakomboa nchi tujue pa kuanzia uchunguzi wetu wa kweli!
Silaha zile @mangekimambi aliandika ziliingizwa walikabidhiwa hawa pamoja na hao chinja chinja wa KMKM na mamluki - hii taarifa nimepewa na sources wengi!
Yaani kama Dec 9 mmeamua kuua zaidi ni poa ila hakuna popote duniani unaweza kujitetea na sniper head shots kwa kigezo kuwa walikuwa wanaharibu miundombinu🚮 ACHENI ❌
Mliingia hadi majumbani kuua watoto na wanawake! Unyama mkubwa sana
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo
‼️🚨THEY ARE PLANNING TO DEMOLISH MORTUARIES TO BURY EVIDENCE‼️
What are you waiting for @SusanNamondo@UnitedNationsTZ you need to step up RIGHT NOW!
@SuluhuSamia and her murderous cabal are planning to demolish mortuaries to hide evidence
You need notify the world and that international team needs to come in now! We will update you of every move
‼️WAHAINI WAUAJI WAMEPANIC‼️
Wanataka sasa kubomoa mochwari! Tusiruhusu! Madaktari na wafanyakazi wote wa afya msikubali kuwa sehemu ya uovu! Leteni taarifa na ushahidi - hawana uwezo wa kusoma Whatsaapp na tutawasaidia kuwa salama
Msifute picha kabla ya kutuma - tumeni leo kila kitu
👉🏽Tuma ujumbe whatsapp +1 (862) 438-3337👈🏽
Tutawapa short instruction za kuweza kukaa salama baada ya kututumia ushahidi
Hakuna kukubali upumbavu
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo
Huyu kijana alipigwa risasi siku ya Maandamo Oktoba 29,
Ndugu zake walizunguka Hospital na Mochwari zote wakaambiwa hayupo jana wamefanikiwa kuona mwili wa ndugu yao kwenye video ya Mwananyamala.
Haya mambo yanaumiza sana, Nduli Idd Amin Mama ameuwa Watanganyika zaidi ya elf 10 akaona haitoshi akaiba miili na kwenda kuizika kwenye makaburi ya Halaiki ili kupoteza ushaidi.
Huyu Nduli anatakiwa kutengwa na kila binadamu ambae anathamini Uhai wa watu
#TanzaniaIsBleeding #TanzaniaMassacre
#SamiaMustGo
Hakuna feki hapo. Video ya maiti za Mwananyamala ni ya ukweli. Mmefanya mauaji ya alaiki— deal with it
Teknolojia ni nyoko sana
1. Huyo Mwenye Tshirt nyeupe wa kwanza kulia ni Wakili John Malya
2. Kushoto mwenye kofia Nyeupe Kichwani ni Kaka yake Ali Kibao.
3. Watatu Kushoto mwenye blue Tshirt ni Boniface Jacob- Boni Yai.
4. Mwenye Barakoa usoni na Shati la draft ni RCO wa KINONDONI wakati huo ASP Msangi.
CHADEMA walivamia Monchwari ya Mwananyamala na kuingia ndani kwa nguvu baada ya kukataliwa kuona maiti ya Marehemu Mzee Ali Kibao.
Tukutane December 9th.
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #D9 #NoReformsNoElection
MARCELO: "My signing with Real Madrid was really strange. My agent came to me and said: 'Do you want to play for Real Madrid?' I said OF COURSE, and he asked me, 'Do you have a girlfriend?' – No. 'Are you married?' – No. 'Do you have kids?' – No. I asked him, 'Why are you asking me all this?' – 'We’ll talk later.'
A few days later he takes me out of Rio de Janeiro, puts me on a plane to Madrid without telling me anything, he just said I would get to know the Club’s facilities. When we arrived, the president was there and already had a contract on the table and cameramen everywhere. I didn’t understand what happened, I just signed and I was already a Madrid player."
Thank you Catholic Church of Tanzania 🙏🏽🇹🇿 A requiem mass for all the souls brutally slain is important!
We will not let this murderous cabal get away with the #TanzaniaMassacre of thousands
Mlaaniwe @ccm_tanzania na @SuluhuSamia
Watanzania si watumwa wenu na hii damu itanyanyuka kutoka ardhini na kutupa nguvu kuwawajibisha wote!
#SaveTanzania #SamiaMustGo
Uovu hushinda wakati watu wema wanabaki kimya. Kwa hiyo, katika maisha yangu yote yaliyosalia, nitahakikisha sitakaa kimya. Nitaendelea kusema ukweli, bila kujali gharama.”
Erika Kirk
HH tells Tanzanians not go to the streets, it’s not God’s time yet‼️
“I lost many elections. I had the motivation to go to the streets. I was the first one to say no one goes to the streets… We were patient, and today we’re in office… Remember God’s time is the best.” - HH speech at cde Samia Suluhu inauguration.