@TheRealEkiswaga@TunduALissu Kama he is not a bigger political figure mwachieni huru basi!
Nakwambiaga kila siku kwamba usidhani ni sifa kujifanya mpumbavu mbele ya watu wazima.
Hang in there, my brother Tundu Lissu! Leo watesi wetu wamejitia tena kidole. Wamezuia mikutano kwa kukuhofia. Naomba Mungu akulinde na akutunze. Utatoka na utakuwa Rais wa Tanzania. Taifa letu litakuwa la kupigiwa mfano. Stay stronger, Idolo! Mungu ni mwema. Free Tundu Lissu!