#NORMALIZE😎...
Ipoo ivii... Kuna baadhi ya #marafiki wanapenda kukuona, ukiwa na furaha huku ukiwalisha, Lakini hawapendi kukuona ukiwa na huzuni hukuu wakikulisha..
#Ukijitahidi#utanielewa✍️...
#WANAUME
Hakikisha msichana anayeketi upande wa abiria Kwenye gari lako ni msichana yule yule ambaye angekaaa na wewe Kweny kituo cha basi ikiwa mambo yatabadilika na kua tofauti ( choose wisely 😊)
#ukijitahidi#utanielewa😎