Top Tweets for #jitahidi
#Jitahidi Matunda/Matokeo ya chochote unachokifanya yakujibie kwa yale wakusemayo!

#Jitahidi Sana Usiwakutanishe Watu Wanao Kudharau, Na Watu Wako Wanaokuheshimu.๐ค๐ฟ
Always There's Nobody Who's Peferct But Remember Kuna Asilimia
MFANO;Nywele Zake Hazijakaa Vizuri Lakini Amependeza
#Jitahidi Sana Usionekane Ovyo Kwenye Kila Kitu๐
#Jitahidi kujenga tabia na sanaa ya kusikiliza zaidi ya unavyoongea. Kusikiliza siyo tu kujua maneno yaliyoulizwa kwenye swali, ni kujua kwa nini swali hilo limeulizwa.

OAIC and the Jitahidi Women's Group have been working together to come up with climate-smart agriculture.
#kenya #vihigacounty #climatechange #agriculture #women #farm #indigenous #vegetables #spinach #nutrition #eat #anemia #birth #jitahidi #community #training #churches
Uzi๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ
Kuna muda unaweza kupitia changamoto nyingi kiasi kwamba unaweza Ukamkufuru Muumba wako usitetereke Jifunze kupitia makosa nyakati ngumu zinakupa funzo kubwa sana kutambua ni watu gani ambao ni sahihi unapaswa kuwa nao na ni watu gani upaswi kuwa nao #Jitahidi

Amepokewa Ammaarah ibni Ruwaibah Allah amridhie kuwa amesema: Nimemsikia Mtume wa Allah swala na salamu za Allah zimshukie akisema:
(Hataingia Motoni mtu yeyote aliyeswali kabla ya kuchomoza kwa jua na kabla ya kuchwa kwake) yaani: Alfajiri na Alasiri
#Jitahidi Allah atakuafikia
ุนู ุนู
ุงุฑุฉ ุจู ุฑููุจุฉ ุฑุถู ุงููู ุนููู
ูุงู:
ุณู
ุนุช ุฑุณูู ุงููู ๏ทบ ูููู : " ูู ููุฌ ุงููุงุฑ ุฃุญุฏ ุตูู ูุจู ุทููุน ุงูุดู
ุณุ ููุจู ุบุฑูุจูุง " ูุนูู ุงููุฌุฑ ูุงูุนุตุฑ " .
๐ุฑูุงู ู
ุณูู
634
#ุตูุงุฉ_ุงููุฌุฑ #ุตูุงุฉ_ุงูุนุตุฑ
#Jitahidi sana kuutumia vizuri ujana wako itakisaidia badaye.โบ
Mwanaume kufanikiwa kumpata mwanamke inategemea unavyo mu approach, nikikuunganisha tayari nimesha ongea nae na amekubali, UNAKOSA maneno ya kuuvuta moyo wake zaidi, imagine amekuona amekubali nikuunganishe nae unataka nn tena. #JITAHIDI
Dada wa kazi unapompa jukumu la kulea Mwanao ni sawa umepata mtu mpya kwa familia yako.Sawa wajibu wake ni kufanya kazi,ila kuna mahitaji wanatamani wapewe mbali na Mshahara.Ukitenga bajeti kwa ajili ya wanao #Jitahidi umkumbuke na yeye Japo kwa losheni tu.
#2016 #JITAHIDI #USIGOMBANE_NA_WENYE_AKILI_MBOVU HATA AKIKWAMBIA 2+2=5 MWAMBIE POA ... 1โฆ https://t.co/YXFA9nSzjB
Last Seen Hashtags on Sotwe
antalyagay
Seen from Turkey
snapgod video*
Seen from Israel
novawoava
Seen from United Kingdom
omegle
ะะพะถะฐะนัะบะธะน
Seen from United States
juts
Seen from Philippines
minichat()
Seen from Germany
ไบๆฌก็ตตใถใฃใใใkgsmr
Seen from Japan
MGAI
Seen from Brazil
anxiouspanda filter:native_video since:2026-10-06
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers














