Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari ili awakweze kwa wakati wake
Huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.
Mwe na kiasi na kukesha kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi kama simba angurumaye huzunguka akitafuta mtu ammeze.