@Roma_Mkatoliki Ofisi ya CAG ni botion tu ripoti lazima aione Rais ndio apitishe ikasomwe
Ni lini Ripot ilishafanyiwa kazi ?
Wizi ni CCM na CAG ni sehemu ya Ofisi ndogo ya CCM
Wanachokifanya ni kutuhadaa tu
GOD Did 🙏🏽🙏🏽✅✅✅✅✅✅
24+ Million BOOM Yesterday 🏆🎉💰✅🤑
If you haven't won any giveaway before!
Drop your aza 💰
I’m sharing 5 Million,choosing from the first 200 Likes and Retweets.
Here we Go champs 🫨👇🏿
"Niombe Serikali ifike wakati iyafute Mabaraza ya kata, kwasababu Mabaraza ya kata yanaleta migogoro mikubwa fikiria mtu hana dokumenti yoyote ya kumiliki eneo ila kapewa haki kuwa kapata eneo hilo kihalali bila hata saini ya balozi wa nyumba kumi, kama sio rushwa ni nini?
Haki TV imefanya mahojiano na Shija Ibrahim aliyekaa Gerezani takribani miaka 10, huku habari zake zikisikika kuwa alikufa na baada ya kutoka ya Gerezani alikuwa amepoteza familia na Mali zote. Nini hatima ya Shija? Gusa link hapo chini Kwa simulizi yote
https://t.co/uU7O2ZjHzp
@LugomboMaKaNTa 1. Mtoto wa Kiume- Geez Mabovu
2. CNN - Ngwair ft Fid Q
3. Famous- Jay Moe
4. Sanaa- LORD EYEZ
5. Right Here- G nako
6. Bye Bye - Joh Makini
7. Msinitenge - Prof Jay ft Chillah
8.Kikazi Zaidi- Adili Chapakazi
9. Inaweza Tokea- Salu T
10. Ukisia Pah - JCB